ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 9, 2014

NY EBRA AFUNGULIWA POP LEO AENDELEA VIZURI

 Ny Ebra Vijimambo NY akifunguliwa POP leo alipokuwa Hospital jimbo la New York na kufungwa dogo huku akiambiwa aanze kuufanyia mazoezi mguu alioumia May 24, 2014 siku DMV na New York walipokipiga DC na DMV kuibuka na ushindi wa bao  5-0.
Ny Ebra akifanyiwa ukarabati wa mguu wake alipokuwa Hospitali mapema leo New York.
Diamond Platnumz akisaini kwenye POP la Ebra siku ya Jumapili June 1, 2014 siku Ubalozi wa Tanzania UN walipomfanyia nyama choma Diamond Platnumz mwingine ni DMK ambaye niUSA  tour maneger  wa Diamond.

1 comment:

Anonymous said...

sasa mkuu umeshapona au bado tunaona hogo linatolewa au tuje tukupige message na misuri yetu au unataka message laini laini ya ma baby girls halaaaa