Advertisements

Thursday, July 31, 2014

PICHA MWANAMKE ALIYEPIGWA NA MUMEWE WAKATI AKISWALI

Bi. Nasra Dafa (30) aliyeshambuliwa na mume wake wakati akiswali.
TUHUMA nzito ya aina yake ambayo haijawahi kutokea ambapo mkazi mmoja wa Tandale – Kwatumbo wilayani Kinondoni jijini, Idd Mpenda anadaiwa kumshambulia na kumjeruhi hadi kuzimia mkewe, Nasra Dafa (30) wakati akiswali.Akizungumza na Amani huku akimwaga machozi, mwanamke huyo alisema tukio hilo lilijiri Julai 28, mwaka huu saa saba mchana wakati akiswali maeneo ya duka lake lililopo Tandale.
ILIKUWA KUSHTUKIZA
Alidai kwamba alikuwa katika kusujudu, mara mumewe alitokea na kumshambulia kwa mateke, ngumi na viatu kisha akamburuza chini hadi nje hali iliyosababisha nguo aliyovaa kuvuka na kubaki kama alivyozaliwa!“Kama unavyoniona, nimeumia sehemu mbalimbali za mwili. Kiatu ndiyo kimeniumiza sana.
Credit:TheChoice

2 comments:

Anonymous said...

kisa ni nini? habari nyingine mbona half half!

Anonymous said...

kisa nini mummy mpaka upigwe hivyo hebu tupe full data tumshikishe adabu kwa sheria huyu mumeo tafadhali bi nasra