ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 15, 2014

PICHA ZINGINE ZA ROYAL WEDDING, HOUSTON, TEXAS

Bwana na Bibi harusi wakiingia wakiingi tayari kufunga ndoa yao iliyofanyika siku ya July 5, 2014 Houston, Texas nchini Marekani.
Bwana harusi Frank Mtafungwa akivisha pete mkewe Anitha Mwemezi siku ya harusi yao July 5, 2014 Houston, Texas nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia.
Bwana na Bi harusi wakiingia kwenye ukumbi wa sherehe yao ya harusi kwa mara ya kwanza kama mke na mume.
Bwana na Bi harusi katika Densi yao ya kwanza.
Bwana na Bibi harusi wakikata keki na baadae kulishana kwa mara ya kwanza kama mume na mke.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula (watatu toka kushoto anayeangalia nyuma) akiwa mmoja ya wageni waalikwa kwenye harusi ya Frank Mtafungwa na mkewe Anitha Mwemezi iliyofanyika siku ya Jumamosi July 5, 2014 Houston, Texas nchini Marekani.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: