Advertisements

Tuesday, July 22, 2014

Polisi Arusha limekamata mabomu 7 na risasi 6 na unga wa baruti


Jeshi la polisi mkoani Arusha limekamata mabomu saba ya kurushwa kwa mkono risasi sita za shootgun na unga wa baruti vikiwa vimefichwa kwenye nyumba moja iliyoko kata ya Sombetini jijini Arusha na jumla ya watu 25 wanashikiliwa

No comments: