Advertisements

Saturday, July 19, 2014

SKILLS ZILIZOJIFICHA BILA KUENDELEZWA

Ingawa kuna ugumu wa maisha lakini kukiwa na amani basi furaha kwa vizazi vyetu ni muhimu. Nifuraha iliyoje kuwaona watoto kama hawa wakifurahi na kucheza kwakutengeza kitu kama hiki mfano wa baiskeli. Hivi ni moja ya vipawa vyakuanzia utotoni ambavyo vinatakiwa kuendelezwa bila kuviacha vinapotea.
 Mkulima akiwa na mazao yake kwenye kiroba akipeleka sokoni ili ajipate riziki maisha yaendelea nyumbani watoto wale ugali.

1 comment:

Anonymous said...

home sweet home napatamani sana, ahsante mkuu kwa kutuwekea hii picha