Advertisements

Monday, July 28, 2014

TAMCO - SIKU YA MWISHO YA FUTARI YA PAMOJA KWA MWAKA HUU

Mwenyekiti anaetarajiwa kumaliza muda wake Sheikh Yussuf Mohammed akitoa machache katika siku ya mwisho ya mfungo wa ramadhani katika ukumbi wa lawndale Silver Spring MD
Afisa ubalozi Abasi Misana akimsikiliza kwa makini mchungaji Malekela wakati akitoa nasaha zake katika siku ya mwisho ya futari ya pamoja DMV
Chini na juu ni Baba yetu, kaka yetu,mchungaji Malekela akitoa nasaha katika siku ya mwisha ya mfungo wa ramadhani, kuwataka waumini wa kiislam waendelee na ushirikiano na mshikamano walionao kwani ni mfano mzuri wa kuigwa
Baba na wana wakipata picha ukumbusho na furaha tele moyoni kwa kumaliza mfungo wa ramadhani Lawndale MD
Wageni kutoka North Carolina, Nassor Basalami na mama mwenye nyumba wake wakipata ukodak





























2 comments:

Anonymous said...

This is PURE love, TAMCO tunawaombea muendelee na ushirikiano na upendo na watu wa dini zote kwani ndilo mlilulifanya miaka yote hapa DMV. Tumefuturu wote na tumesheherekea Eid pamoja na Watanzania wa imani tofauti.
Mola udumishe umoja huu. Amina

Anonymous said...

asiyekuwa muislamu na akifunga au kujumuika na watu wanafunga hasihii mpaka awe muislamu.fateni dini bwana acheni siasa