Advertisements

Monday, July 28, 2014

SALAMU ZA EID KUTOKA DMV


Wadau wa DMV wanawatakia Eid Mubarak waislamu wote Duniani washerehekee kwa amani na utulivu na wafuate yaliyomema kama walivyofuata wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan

1 comment:

Anonymous said...

aunty ummy eid mubarak nakuona dirishani unachungulia