ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 14, 2015

Walicho amua kufanya Wafuasi wa Lowassa baada ya Msafara wao Kuzuiliwa

16 comments:

Anonymous said...

Kazi ipo mwaka huu,tuombe mungu atusaidie Tanzania.

Anonymous said...

this is real stupid!!!!! where in the world at funeral peoples goes without invitation????!!!!! looks those brainers washers do not know what are they doing. why this guy lowasa using a funeral as publicize himself, seems so desperate to get sympathy from people. he's not confidence that's why using a funeral as place to get attention. you can see that only in Tanzania!!!! no where in world with civilized people acting stupid that way the way he did and his followers. he should apologize to kisumo's family as well as to all Tanzanians for endanger them. he got a very poor judgment and wants to lead our country????!!! show some class and be civilized. why are you bow down and crown with your knees, wake up Tanzanians don't be stupid

Anonymous said...

Wabongo bwana. Kwanini tunalazimisha kukutumia lugha tusiyo weza?? Nimeangalia wazo la mdau hapo juu, ana point fulani lakini hicho Kiingereza babu! Hii ni blog ya Kiswahili tumia lugha ambayo unayo weza kuandika. Hapa ni kama unawakilisha kwamba Watanzania hawajui Kiingereza.Mdau rudi shule.

Anonymous said...

anonymous wa kingereza..what a poor English!!.Tz si huko ulipo..mara hii umesahau culture ya kwenu??ni wapi wa-tz wanatoa invitation za kuhudhuria kwenye msiba?.msiba kwa wa-tz hauchagui class yoyote..si kama harusi au kama huko ulaya mnapoishi kwa kuogopana...msiba tz ni wa watu wote..hakuna mwaliko wala kadi. Usisahau culture ya kwenu ndugu.

mdau
UK

Anonymous said...

Daah hicho kiingereza cha mdau hapo juu ni hatari!,...watanzania tujivunie na lugha yetu ya kwanza, kama ya pili ni shida tumia lugha yako ya kwanza uweze kueleweka vizuri na upunguzie watu shida kujaribu kukuelewa unasema nini

Anonymous said...

Wewe mdau wa kiingereza hapo juu wewe ndio inabidi uamke katika usingizi tororo,chama chako kimekaa madarakani na kulewa madaraka na kuzoletesha uchumi wa nchi,na inaonekana upo nje ya nchi na kiingereza chako cha mitaani, hujui nini kinaendelea,kula mbili mbili gunia kama hupendi hiyo video.

Anonymous said...

Asante mdau wapili naungana na wewe,kama huwezi lugha ya wa tu ongea lugha yako,hii ni blog ya waswahili acha ushamba

Unknown said...

Hata wewe #3, uzilazimishe kiswahili unafahamu kuwa hakuna neno wabongo katika kamusi ya kiswahili. Umetumia neno kukutumia badala ya kutumia. Afadhali yeye kajaribu kiengereza wewe hata kiswahil cha shida.

Anonymous said...

Mdau hapo kiingereza kaonge kwako na hiyo class na civilization kafanye kwenu. Hapa ni kiswahili kwenda mbele. Kwa mila za kwetu mazikoni kila mtu anaenda huitaji mualiko.

Anonymous said...

Anyeongea kingereza lazima ni kimada wa CCM maana hii video ni yazamani and ilitokea wakati bado yuko CCM na siyo wakati wa msiba.....kwahiyo rekebisha misemo yako

Anonymous said...

Huyo mdau wa kiingereza sio mtz jamani kwani hamuoni anavyobofoa. Wa tz hatubofoi hivyo hahahh

Anonymous said...

Shut your big mouth, idiot. Hata marekani watu wanaenda kwenye msiba bila kadi especially if that person was your colleague at work, church or community services. Kwa hiyo funga hilo domo chafu kama la Nape au Kinana wa chama cha mijizi - ccm

Anonymous said...

Kulikuwa na haja gani ya Lowasa kuambatana na wafuasi wake wa Ukawa msibani? Kwani alishindwa kwenda peke yake kimya x2? Wakati mwingine hizi cheap popularity zinamuondolea mtu heshima. .

Anonymous said...

wewe ANAONYMOUS WA 6:57 PM: Je Kikwete alienda peke yake kwenye msiba? Hujui huyu Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu? Hujui kwamba yeye ni Rais mtarajiwa anasubiri tu kuapishwa Octoba? Kaa kimya kama huna hoja!

Anonymous said...

Huyo mjamaa hata kiingereza kinampiga chenga. Huko aliko hata ss tumeishi na kufanya kazi sana huko....mbona tu naenda kwenye msiba ya rafiki zetu, tena hao hao wazungu, bila kukaribishwa?

Anonymous said...

anonymous wa 4:29pm, nani alikwambia lowasa ni waziri mkuu mstaafu. hajawahi kustaafu alijiuzulu kwa kushiriki kashfa ya Richmond(resignation versus retired). get your facts right!! ukawa bana usshabiki tu wala hamjui maaana ya kujiuzulu na kustaafu.utasubirii sana oktoba aapishwe, tunachosubiri ni kumpeleka mahakamani kwa kashfa ya Richmond na kutishia kuua watu(ugaidi). wewe anachokifanya anajua kwamba anashitakiwa sasa anatafuta sympathy.