Bofya soma zaidi upate fomu ya kujaza nafasi
FOMU
YA KUWANIA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA -WASH-METRO
WEKA
VEMA KWENYE KISANDUKU / VISANDUKU KWA NAFASI UNAZOTAKA KUGOMBEA
[ ] MAKAMU
WA KATIBU MKUU WA JUMUIYA
[
] MWEKA HAZINA WA JUMUIYA [
] MAKAMU WA MWEKA HAZINA
Jina:________________________________________________________Jina
la Ukoo:______________________________
(Tafadhali ambatanisha picha moja ya Pasipoti
kwenye fomu hii, La sivyo maombi yako hayatafikiriwa)
ANUANI ya
mahali
unapoishi:_____________________________________________________________________________
Tarehe ya
kuzaliwa:_________________________________________Mahali
ulipozaliwa___________________________
Simu ya
nyumbani___________________________________________Simu ya
kazini______________________________
Barua pepe (E-mail):_________________________________ Simu ya mkononi____________________________
Hali ya
Uanachama ____ (Hai) – ambatanisha nakala ya ulipaji………………….. ___ Sio Hai
Mwajiri: _________________________________________Kazi/Nafasi
yako:______________________________________
ANUANI ya
Mwajiri:
_____________________________________________________________________________________
______________________________________________________________________________________
WADHAMINI:
Waombaji wanao
wania nafasi hizi za uongozi wanatakiwa kupata wadhamini watatu (3) ambao ni
wanachama hai.
Wadhamini hao
waweke sahihi zao kwenye nafasi iliyoonyeshwa hapa chini, La sivyo maombi yako
hayatafikiriwa.
1.
Jina:______________________________________________________________Namba ya
Simu_______________________
ANUANI ya
Nyumbani:____________________________________________________________________________________
2.
Jina:______________________________________________________________Namba ya Simu________________________
ANUANI ya
Nyumbani:____________________________________________________________________________________
3.
Jina:______________________________________________________________Namba ya
Simu_______________________
ANUANI ya
Nyumbani:____________________________________________________________________________________
$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC
SIFA
ZA WAGOMBEA NAFASI ZOTE ZA UONGOZI
- Mgombea LAZIMA awe mtu mwenye
sifa nzuri kwenye Jumuiya, awe na moyo wa uongozi na pia awe na nafasi ya
muda wa kujitolea bila kipingamizi cha kazi, maslahi, usafiri, nk.
- Mgombea LAZIMA awe na sifa za
uongozi, atakayefuata Katiba ya Jumuiya, mwenye uwezo wa kubuni mipango na
utekelezaji wake, mwenye msimamo bora usioingiliwa na vikundi au makundi,
ili kuiongoza Jumuiya kwenye Malengo na Matarajio ya wanachama wake.
- Mgombea lazima awe mkazi wa
kudumu hapa USA (Legal) au anacho kibali kinachokubalika kwa muda
usiopungua miaka miwili toka siku
ya kuchukuwa wadhifa wa jumuia.
- Mgombea ASIWE ameshtakiwa au
kuhukumiwa kosa lolote la jinai.
- Mgombea ASIWE kiongozi wa chama
chochote cha Kisiasa, Kidini au Kikabila (au ajiuzulu kofia hizo kabla ya
uchaguzi).
- Mgombea awe na UFASAHA wa kuongea
lugha mbili (Kiswahili na Kiingereza).
Sahihi
ya
Mgombea___________________________________________Tarehe:_________________________________
saa sita usiku, July 12, 2014 ni
mwisho wa kupokea FOMU pamoja na viambatanisho vyote kupitia barua pepe ya
kamati maalum ya uchaguzi - uchaguzi2014@gmail.com
4 comments:
Tunaomba mtuwekee majina ya waliochukua fomu na kujiandikisha kwa nafasi ambazo zimesha jazwa.
Asanteni.
Shame nyinyi wanakamati mgombea lazima awe na greencard inahusiana nini? Kipengele hicho lazima kibadilishwe driver license it should be.
enough.mbona wengine hata sio raia wa tanzania wanaongoza? Mnawanzima haki wazawa
HATUNA IMANI NATUME YA UCHAGUZI INAVUNJA KATIBA INAJIAMULIA VILE WANAVYOTAKA KWA MASLAI YA MR IDD.
hivi hii tume ya uchaguzi imeshindwa kufanya kazi yake!!! mmoja wa mgombea urais ana record za kuarestiwa na kuwa kesi za jinai. sasa inakuwaje tume iruhusu huyo mgombea kugombea. inabidi mdisqualified huyo mgombea la sivyo siku ya uchaguzi tutaleta hizo record na wanajumuiya wote wazione na kuona tume imeshindwa kazi.
Post a Comment