ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 6, 2014

TANGAZO MAALUM LA KUONGEZA MUDA WA KUCHUKUA FOMU DMV

Bofya soma zaidi upate fomu ya kujaza nafasi

FOMU YA KUWANIA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA -WASH-METRO


WEKA VEMA KWENYE KISANDUKU / VISANDUKU KWA NAFASI UNAZOTAKA KUGOMBEA
                                                               

                                                                       [  ] MAKAMU WA KATIBU MKUU WA JUMUIYA

        [  ] MWEKA HAZINA WA JUMUIYA                                     [  ] MAKAMU WA MWEKA HAZINA

Jina:________________________________________________________Jina la Ukoo:______________________________
      (Tafadhali ambatanisha picha moja ya Pasipoti kwenye fomu hii, La sivyo maombi yako hayatafikiriwa)
ANUANI ya mahali unapoishi:_____________________________________________________________________________
Tarehe ya kuzaliwa:_________________________________________Mahali ulipozaliwa___________________________
Simu ya nyumbani___________________________________________Simu ya kazini______________________________
Barua pepe (E-mail):_________________________________                Simu ya mkononi____________________________
Hali ya Uanachama ____ (Hai) – ambatanisha nakala ya ulipaji…………………..                         ___ Sio Hai

Mwajiri: _________________________________________Kazi/Nafasi yako:______________________________________
ANUANI ya Mwajiri: _____________________________________________________________________________________
                                   ______________________________________________________________________________________
WADHAMINI:
Waombaji wanao wania nafasi hizi za uongozi wanatakiwa kupata wadhamini watatu (3) ambao ni wanachama hai.
Wadhamini hao waweke sahihi zao kwenye nafasi iliyoonyeshwa hapa chini, La sivyo maombi yako hayatafikiriwa.

1. Jina:______________________________________________________________Namba ya Simu_______________________
   ANUANI ya Nyumbani:____________________________________________________________________________________
       
2. Jina:______________________________________________________________Namba ya Simu________________________
    ANUANI ya Nyumbani:____________________________________________________________________________________

3. Jina:______________________________________________________________Namba ya Simu_______________________
   ANUANI ya Nyumbani:____________________________________________________________________________________

                                   $ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC$ATC

SIFA ZA WAGOMBEA NAFASI ZOTE ZA UONGOZI
  1. Mgombea LAZIMA awe mtu mwenye sifa nzuri kwenye Jumuiya, awe na moyo wa uongozi na pia awe na nafasi ya muda wa kujitolea bila kipingamizi cha kazi, maslahi, usafiri, nk.
  2. Mgombea LAZIMA awe na sifa za uongozi, atakayefuata Katiba ya Jumuiya, mwenye uwezo wa kubuni mipango na utekelezaji wake, mwenye msimamo bora usioingiliwa na vikundi au makundi, ili kuiongoza Jumuiya kwenye Malengo na Matarajio ya wanachama wake.
  3. Mgombea lazima awe mkazi wa kudumu hapa USA (Legal) au anacho kibali kinachokubalika kwa muda usiopungua miaka miwili toka siku  ya kuchukuwa wadhifa wa jumuia.
  4. Mgombea ASIWE ameshtakiwa au kuhukumiwa kosa lolote la jinai.
  5. Mgombea ASIWE kiongozi wa chama chochote cha Kisiasa, Kidini au Kikabila (au ajiuzulu kofia hizo kabla ya uchaguzi).
  6. Mgombea awe na UFASAHA wa kuongea lugha mbili (Kiswahili na Kiingereza).



Sahihi ya Mgombea___________________________________________Tarehe:_________________________________


saa sita usiku, July 12, 2014 ni mwisho wa kupokea FOMU pamoja na viambatanisho vyote kupitia barua pepe ya kamati maalum ya uchaguzi -  uchaguzi2014@gmail.com



4 comments:

Anonymous said...

Tunaomba mtuwekee majina ya waliochukua fomu na kujiandikisha kwa nafasi ambazo zimesha jazwa.
Asanteni.

Anonymous said...

Shame nyinyi wanakamati mgombea lazima awe na greencard inahusiana nini? Kipengele hicho lazima kibadilishwe driver license it should be.
enough.mbona wengine hata sio raia wa tanzania wanaongoza? Mnawanzima haki wazawa

Anonymous said...

HATUNA IMANI NATUME YA UCHAGUZI INAVUNJA KATIBA INAJIAMULIA VILE WANAVYOTAKA KWA MASLAI YA MR IDD.

Anonymous said...

hivi hii tume ya uchaguzi imeshindwa kufanya kazi yake!!! mmoja wa mgombea urais ana record za kuarestiwa na kuwa kesi za jinai. sasa inakuwaje tume iruhusu huyo mgombea kugombea. inabidi mdisqualified huyo mgombea la sivyo siku ya uchaguzi tutaleta hizo record na wanajumuiya wote wazione na kuona tume imeshindwa kazi.