ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 9, 2014

TASWIRA YA NYUSO ZA VILIO NA FURAHA KUTOKANA NA MATOKEO YA JANA BRAZIL NA GERMANY

Ni mapenzi kwa timu ya nchi yake je Tanzania yupo mtu anaweza kulia hivi baada ya timu ya taifa kufungwa?.
Huyu jamaa alikuwa na hasira hadi aliigeuza jersey ya Brazil sambusa.
Kila aliekuwepo uwanjani hapo alikuwa na style yake ya kuonyesha jinsi gani ameguswa na matokeo ya mchezo wa Brazil na Germany.
Kwa taswira zaidi jitiririshe chini

 

No comments: