ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 9, 2014

TEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU

Mr. Iddi Sandaly, 
Bachelors in Accounting, MBA, CPA, CGMA
Controller at
Property Management Company


KUJITOLEA KATIKA KULETA MAENDELEO NA KUPUNGUZA UMASKINI WA JAMII NYUMBANI TANZANIA KWA KUSHIRIKI HAPA.
Kwa miaka kadhaa pamoja na Kujitolea kwenye Jumuiya ya DMV nimekuwa mmoja wa Board of Directors wa Friends of tanzania. Ambayo ni Non- profit ya Americans Peace Corps, Ambayo inachangia kwenye kuleta Social and economic develipment in Tanzania. Hii Ni Nafasi ya kujitolea na Mimi nikiwa ni mtanzania niliona kuwa hii ni fursa ya Kujiunga nao na kuwasaidia Hawa Wamarekani katika kuleta maendeleo mbali mbali nyumbani Tanzania hasa kwa Wale ambao ni Underprivileged. 



Board of Directors

Members of the Friends of Tanzania Board are all volunteers. About half are Returned Peace Corps Volunteers, others are Tanzanians, and others lived and/or worked in Tanzania or have traveled to Tanzania. A board term is two years with the option to serve a second two-year term. 

2014 Board Members are:

Candy Warner, PresidentChair: Communications
Allison Eriksen, Vice-PresidentSocial Media Coordinator
Malte Von Mattheissen, SecretaryMembership, Projects
John Hatch, TreasurerChair: Finance, Projects
Robert Mugizi RwebangiraOutreach
Craig HafnerChair: Governance; Outreach; Projects
Tony BakerChair: Membership
Heidi Hawkins BlakeMembership, Finance; Projects
Karumuna KaijageProjects, Outreach
Karen SchaeferChair: Projects
Maggy MsangiProjects
Susan RabideauProjects, Communications
Dennis WarnerOutreach, Governance
Iddi SandalyOutreach
Lynn KneedlerImmediate Past President; Chair Outreach




Recently Funded Projects

Projects Funded in 2013

In 2013, FOT approved funding for 11 projects for a total of $25,576. These Regular funded projects were located in 8 different regions of Tanzania. In addition to the Regular funded projects, four FOT Member Sponsored projects were approved totaling $29,852. Thus FOT and its members provided funds for 15 projects in 2013, with a grand total of $55,428.
  1. $2,960 Friends of Usambara-tree nurseries-Tanga to continue the "Green School Project." This will be the third year that FOT, Friends of Usambara, and Trees for the Future have worked together to promote this project. The Green School Project is a tree planting project which will expand this year to 6 additional primary schools. In order to stimulate sustainable natural resource management, primary school children establish environmental clubs and plant tree seedlings to aid in reforestation of the Usambara Mountains.
    B
  2. $3,000 Organization of People Empowerment-sewing machines-Shinyanga to help set up a tailoring training center for school leavers in Kishapu District. FOT funds will cover the purchase 25 sewing machines, 25 chairs, 25 tables, a blackboard, and the cost of transporting the equipment to the center. The organization will provide allowances for the trainers, the expenses for maintaining the equipment, and other overhead costs of running the center.
  3. $2,740 Muungano Women Group-poultry project-Shinyanga for a poultry project. The Muungano Women Group runs a day care center for orphans and provides other orphans in the community with basic needs and school fees. The poultry project will allow the organization to increase the number of children they assist from 18 to approximately 72 children within 2 to 3 years. FOT funds will pay for construction materials for a poultry house and for the purchase of 200 chicks, feeders, drinkers, and the initial feed and vaccination fees. The organization will contribute wood, transport of the materials, and labor.
  4. $2,950 Mbeya Trade School-sewing machines-Mbeya for the purchase of 28 new sewing machines. The machines will replace 21 old donated sewing machines which are in disrepair. The machines will be used to train girls in tailoring skills. After completing the training course, the girls will form cooperative work groups of approximately 3 to 5 girls in each group to enable them to apply for loans and set up their own businesses. The Mbeya Trade school, which is run by the Catholic Diocese of Mbeya, offers classes in dressmaking, electrical installation, carpentry, motor vehicle mechanics, and welding.
  5. $1,600 Buhemba Community Development Training Institute-pigs-Mara to enable the Buhemba Training Institute to develop a piglet production center. The funds will be used to purchase 10 female pigs, to cover the cost of transporting the pigs to the organization's site, and to provide initial feed and vaccines for the pigs. The female pigs will be bred with quality boars. The piglets that are born will be distributed to local women's groups to provide a source of income and meat for the group members. Each group, after breeding their pigs, will return 3 weaned female piglets back to Buhemba CDTI to expand and sustain the project.
  6. $2,090 Tuseme Children Empowerment Trust-poultry-Arusha for a chicken project to benefit 32 children living at a permanent shelter and 60 Massai women. The project will provide better nutrition and income-generation for the women as well as the children at the shelter. FOT funds will be used to purchase 200 chicks and 10 cocks and to buy material for a chicken house at the shelter. As the chicks begin breeding, each of the original recipients will give back 1 hen and 1 cock to expand the project to additional households.
  7. $1,575 Uwaku Group-goats-Kagera to purchase 30 female goats for a "get a female goat-give a female goat" project. The Uwaku Group is an association of young heads of household who are caring for younger siblings. In the first year, individual Uwaku Group members will receive and breed a female goat. After breeding their goats, each beneficiary will give back to the organization one female baby goat which will then, in turn, be given to an additional needy community member. FOT funds will cover the cost of 30 female goats, the transportation of the goats to the site, and the purchase of a bicycle to assist with monitoring the project.
  8. $2,811 Sustainable Development Solutions-beekeeeping-Tabora for a beekeeping project to be run by the members of the Tabora Municipal HIV Victims Trustship. FOT funds will be used to construct 50 modern beehives, to purchase packing containers for the honey, and to construct a shallow well to provide water for the project. The Sudeso organization will cover the costs of the planning and training meetings as well as the supervision, monitoring, and evaluation of the project. Members of the Tabora Municipal HIV Victims Trustship will receive 55% of the profits from the sale of the honey. The remaining profits will be set aside for maintaining the project, and to establish a savings account established for the Tabora Municipal HIV Victims Trustship.
  9. $ 2,350 New Life Africa-micro loans-Tabora to provide small start-up business loans to women living with HIV/AIDS. Fifty six women have been identified and given initial entrepreneurship training. The women have formed 8 groups of 7 members each. Each group will select a business (tailoring, gardening, making ornaments, or cooking and selling food). The groups will repay the loans to New Life Africa after 4 or 5 months. New Life Africa will not charge interest on the loans although each group will be encouraged to collect and set aside interest payments for their own group's future use.
  10. $3,000 Sustainable Alliance and Poverty Eradication for the Bendera Village Water Committee-water pump-Kilimanjaro to purchase a heavy-duty water pump which will provide potable water for approximately 200 families. Villagers will pay Tsh 1000 per family per month to the Bendera Village Water Committee to generate funds for maintaining and sustaining the project. The community has raised $2,000 to apply towards the project and will also provide in-kind contributions of sand, stone, and labor. The Sustainable Alliance and Poverty Eradication organization, an NGO based in Dar es Salaam, identified the project and assisted the Bendera Water Committee with technical and community development advice.
  11. $500 Kazi ni Dawa (Kanida)-chicken shed-Tanga to purchase corrugated iron for the construction of a chicken shed. Kanida will contribute bricks (which they have already made), timber, labor, and other construction materials. Each Kanida member will donate 2 local breed chickens to add to the 20 chickens which the organization already owns. Profits from the sale of the eggs and meat will be used to pay for school fees and exercise books for 15 orphaned students. In the second year, as the number of chickens increase, the profits will support a total of 40 orphaned students.
Total Regular Projects Approved for Funding in 2013 = $25,576 


Member Sponsored Projects Approved in 2013

  1. $5,000 for a Girls Scholarship Program at Lutengano Secondary School in Tukuyu, Mbeya Region. Now in its eighth year and based on very positive reports, an FOT member continues to provide scholarships for girls in need who have achieved good grades and participated in citizenship activities.
  2. $15,000 for a Girls Scholarships at Geita Secondary School in Geita, Mwanza Region. An FOT member continues this 10th year of providing funding for 25-30 girls who would otherwise be unable to continue their secondary and university schooling. The program is managed by Geita area teachers and principals and receives annual satisfactory reports.
  3. $2,100 towards the Second Chance Education Center Toilet Project in Moshi, Kilimanjaro Region. This project, sponsored by the extended family of an FOT member, enabled the Second Chance Education Center to complete two toilet projects at the center. Funds were used to construct required toilets for kindergarten classes and to renovate the center's secondary school toilets in order to make them accessible to disabled students.
  4. $7,752 for the Rural Teacher Capacity Building Workshop in Moshi, Kilimanjaro Region. Donations supported the attendance of a new group of 30 rural primary and secondary school teachers at a weeklong teacher training workshop, similar to the successful workshops held in previous years. In this, the third year of the annual workshops, alongside American and international educators, Tanzanian teachers who had participated in prior years returned to act as mentors to first-time participants
Members Sponsored Projects Approved in 2013 = $ 29,852
In 2013 FOT approved 11 regular funded projects, 1 in Arusha, 1 in Kagera, 1 in Kilimanjaro, 2 in Tabora, 2 in Tanga, 2 in Shinyanga, 1 in Mbeya, and 1 in Mara for a total of $25,576. In addition FOT approved 4 member sponsored projects, 1 in Mbeya, 2 in Kilimanjaro, and 1 in Mwanza for a total of $29,852. The grand total for all

KUSHIRIKIANA NA KINA MAMA NA WATANZANIA WOTE HAPA DMV

Kwa miaka mitatu mfululizo nimekuwa nikishiriki na kushirikiana na kikundi cha kina mama kwenye matembezi hiari ya Kansa. 
Kikundi cha kina mama wa DMV ndani yake kukiwa na watanzania wenzetu walio pitia janga la Kansa wamekuwa mbele kuwaomba na kuwataka watanzania wachangie kwenye utafiti wa Kansa na pia kuwaomba watanzania wote wafanyiwe uchunguzi wa Kansa. Na kwa miaka mitatu toka kikundi hichi cha wana DMV kilipoanza nimekuwa nikishirikiano nao kwa kutoa mchango wa kifedha kwenye utafiti wa Kansa na pia kwa kuwa nao kina mama wa hawa kwenye matembezi.
Lengo na Mipango ni kushirikiana na kikundi hiki cha kinamama na kwa mwaka huu nitashirikiana nao na kuandaa na tutajaribu kuwaleta wataaalamu na huduma ya bure ya uchunguzi wa kansa kwa wana DMV kama nilivyoshirikiana na viongozi wenzangu na Nesiwangu kwenye kuleta huduma ya Bure ya Afya hapa DMV. 
Pia tunafanya maandalizi ya mwakani lili tuweze kupata kina baba wengi kujumuika kwenye Matembezi haya ya Kansa,
DMV KWANZA.




UWAZI KATIKA UPUNGUFU WA GHARAMA ZA MAZISHI NA USAFIRISHAJI WA MAITI.

Kwa mara ya kwanza hapa DMV tumeweka wazi na kuhakikisha na kupata gharama za kusafirisha maiti mpaka Tanzania kupungua mpaka $7,900. Maximam $9,800. Nimeweza kuhakikisha tuna fuatilia na kupatana na Funeral homes za Bei Maridhawa . Hivi sasa tuna makubaliano na Funeral Home ambayo kusafirisha mwili mpaka Tanzania haitozidi $9,800. Zamani tulikuwa tukitozwa mpaka $15,000 au $20,000.

Katika Uongozi wangu nimehakikisha na nitahakikisha kushirikiana na wana DMV wote kuwa hakuna mwili wa mtaanzania unaokaa zaidi ya siku kumi bila kuzikwa. Nimefanya hivyo na nitaendelea kufanya hivyo. 

Hili limeweza kufikiwa kutokana na kuaminiwa kwa uongozi wangu na pia watanzania kuwa na Imani na Jumuiya. Na hili haliwezekani kama viongozi watakuwa wa kikundi fulani au watu fulani. DMV tumetoka mbali na tunaelekea kuzuri.

Kutokana na Kukubalika kwa Jumuiya yetu Shirika la NSSF liliweza kutusaidia kwenye Janga la Msiba kwa kutoa $5,000 kwa mwanajumuiya ambae hakuwa Member wa NSSF. Walitoa Pesa hizo Baada ya Kuwasiliana na Uongozi wangu na Ubalozi na kusema wanaziona Juhudi za uongozi wa DMV na wanataka Mahusiano yetu na NSSF yawe mazuri.


Niaminini; bila kukubalika kwa jumuiya, Uongozi na Mahusiano mazuri niliyoyajenga na NSSF na Ubalozi hizi $5,000 zisingeletwa.





KUWAKUTANISHA WATANZANIA KAMA WANA DMV BILA KUJALI MENGINEYO

Lengo la Jumuiya ni Kuwaweka Watanzania pamoja na Kuwajumuisha Pamoja.

Katika Historia ya DMV kwa Miaka miwili mfululizo ya Uongozi wangu  tumeweza kuwajumuisha watanzania kwenye mambo mbali mbali. Tumeweza kufanya SUMMER PICNIC kwa watanzania wote wa DMV . Tuliweza kujipanga na Kuhakikisha watoto, vijana na Wazee wanajumuishwa pamoja na kufurahia, Watanzania bila Kujali Vyama na mengineyo tuliweza kujumuika kwa pamoja na kufurahi.  Lengo DMV MOJA.

Kwa Kuendeleza kuonyesha ni jinsi Gani umoja Ndio Lengo la Jumuiya na Sio Kupata Mamilioni ya Fedha wala Kuleta Siasa au Mengineyo. Kwa Miaka yote miwili ya uongozi na Timu yangu tuliweza kuandaa Party Ya Mwaka Mpya Kwa Watanzania Wote Hapa DMV na Kwa Gharama Nafuu. Lengo ni Kushereheka kwa Pamoja na Kuwa Pamoja kama watanzania DMV. Tuliserebuka na Kulisaka Bomboka kwa Raha Zetu. Mpango Pale Pale Mwaka huu December 31, 2014.



































FOT funded projects in 2013 was $55,428.
KULETWA KWA NSSF & PSPF
Kwa kuona umuhimu na mahitaji ya Huduma za Kijamii kwa wana DMV. Nilihakikisha na nitaendelea kuhakikisha kuwa wana DMV wanapata habari na huduma muhimu. Kwenye uongozi wangu niliweza kuleta Mashirika Makuu muhimu kutoka Tanzania ambayo yaliwapatia information na Huduma wana DMV. Mashirika hayo ni NSSF na PSPF. 

Wengi waliweza kunufaika/Wananufaika na huduma hizi kwa kupata mipango ya BIMA ya WESTADI, Mipango ya Retirement, Mipango ya Nyumba Bora za Kuishi kwa mikopo huko nyumbani Tanzania. 
Kutokana na Kukubalika kwa Jumuiya yetu Shrika la NSSF liliweza kutusaidia kwenye Janga la Msiba kwa kutoa $5,000 kwa mwanajumuiya ambae hakuwa Member wa NSSF. Walitoa Pesa hizo Baada ya Kuwasiliana na Uongozi wangu na Ubalozi na kusema wanaziona Juhudi za DMV na wanataka Mahusiano yetu na NSSF yawe mazuri.
Mwaka huu Mwezi wa Nane au wa tisa tunategemea kuyaleta Tena Mashirika haya Mawiili na Shirika jingine la Tatu. Pia Tunafanya Mapatano ya Mipango rahisi kwa ajili ya Wana DMV kupitia Mashirika haya. Kwa habari na huduma za NSSF na PSPF pitia http://www.pspf-tz.org au http://www.nssf.org

DARASA LA KISWAHILI DMV 
DMV ni Jumuiya ya Kwanza hapa USA kuanzisha Darasa la Kiswahili kwa watoto chini ya Uongozi wangu mimi kama Rais wa DMV. Tumeweza kuwafunza watoto wetu. Tumewakilisha Tanzania kwenye matukio mbali mbali yanayahusu Lugha .Jumuiya yenu imeweza kuwawakilisha kwenye kwenye Nyanja za Kimataifa. DMV iko Juu hivi sasa. 
Kwa vile tunajulikana sasa tumeweza kuwapatia hata kazi za Lugha ya Kiswahili Baadhi ya Watanzania.
Tumeweza kuwapeleka walimu wetu wa Darasa la Kiswahili kwenye mafunzo mbali mbali ya Level za Chuo Kikuu kupitiaa Wadhamini. Na hivi sasa walimu wetu wana sifa kamili na wanakitangaza Kiswahili.
Mipango ijayo ni kulipanua Darasa hili na kuhakikisha na kuweza kuyatosheleza maombi ya Wengine wasio watanzania wanaotaka kujifunza lugha yetu.




DUAL CITIZENSHIP /HAKI YA KUZALIWA

Nimekuwa mstari wa mbele katika kulipigania swala la Dual Citizenship . Nilianzisha PETITION kwa watanzania wote ulimwenguni ili kuweza kupeleka mawazo na nguvu zetu Diaspora tulio nje Bungeni Tanzania. Petition hii nilianzisha na kuhakikisha inawafikia wabunge na Mawaziri nyumbani Tanzania ilikuweza kulisukuma swala hili la Haki ya Kuzaliwa/Dual Citizenship. Mpaka Hii leo petion hii ishatiwa sign na Watanzania 1,754, ulimwenguni. http://www.change.org/petitions/honourable-bernard-membe-we-tanzanians-in-the-diaspora-believe-that-dual-citizenship-is-a-great-thing-for-the-country-please-support

Nimeshirikiana na Viongozi wenzangu wa Jumuiya za watanzania hapa Marekani, ITALIA, IRELAND, UK, ZADIA na DIACOTA kwenye kuhakikisha swala Hili la Dual Citizenship linafanikiwa. Tumekuwa tukifanya mikutano ya Kila Jumapili kujadili na kupanga mikakati katika swala hili.  

Kwa Hivi Sasa Viongozi Wenzangu wa Jumuiya za Marekani Kwa Kazi nzuri ninayoifanya na kwa imani na uaminifu walionao juu yangu, wamenichaguwa Kuwa Mwenyekiti Wa Umoja  wa Viongozi wa Watanzania Marekani.

PESA zimekuwa zikikusanywa kutokana na MAOMBI ya muwakilishi wa wanadiaspora kwenye bunge la katiba Mr. Kadari Singo. Pesa hizi zina lengo moja tu la kuhakikisha swala hili linafanikiwa. Lengo kuu ni kuwapa semina wabunge kuhusu swala hili kama tulivyoshauriwa na Waziri wa mambo ya Nchi za Nje Bwana Bernad Membe, Mabalozi wetu na Baadhi ya Viongozi. Pia Baadhi ya Pesa zitatumika kwenye Publicity kwenye Radio, TV na nk.

Jumla ya $9,405 zimekusanywa mpaka sasa na lengo ni kukusanya $25,000 . Mimi Nilikuwa Mchangaji namba mbili (2) . Kama kuna swali wasiliana na muwakilishi wa wanadiaspora kwenye bunge la katiba Mr. Kadari Singo au kiongozi yeyote wa Jumuiya za Watanzania Marekani kwenye link hii  http://www.gofundme.com/7jtyuw.  Mr. Kadari Singo singojr@gmail.com

Matumizi yanayofanyika kwenye Pesa hizi ni LAZIMA yapitishwe na Viongozi wote wa Jumuiya hizi za watanzania. Unaweza kuwasiliana na kiongozi yeyote hapa http://www.gofundme.com/7jtyuw kwa maelezo , maoni au maswali. Pesa hizi ambazo bado ziko under gofund,com zitakuwa Transfered kwenye Jumuiya ya Hapa DMV, halafu maelekezo ya Matumizi yatafanywa na Viongozi wote. Matumizi ya $700 yalipitishwa na Viongozi wa Jumuiya za Watanzania Marekani yalifanyika, AMBAPO MIMI NIMETUMIA PESA ZANGU BINAFSI ($700) na kutumwa kwa Kaka Kadari Singo kwa Maandalizi ya awali ya swala hili la Dual Citizenship. Pesa zangu nitarudishiwa Mara tu hela zitakapokuwa Transfered kwenye account ya Jumuiya.

Kwa contacts za Viongozi wa Jumuiya za Watanzania Marekani nenda  http://www.gofundme.com/7jtyuw



To:
Honourable Bernard Membe, Foreign Affairs Minister
Honourable Tundu Lissu, Constituency Member
Honourable Leticia Nyerere, Constituency Member
Honourable Mohammed Dewji, Constituency Member
Honourable Dr. Abdallah Kigoda, Constituency Member
Honourable Anne Makinda, Speaker- Constituency Member
Honourable Adam Malima, Constituency Member
Honourable Zitto Kabwe, Constituency Member
Honourable Aggrey Joshua, Constituency Member
Honourable Amina Clement, Constituency Member
Honourable Al-Shaymaa Kwegyir, Constituency Member
Honourable Rev. Peter Msigwa, Constituency Member
Honourable George Simbachawene, Constituency Member
Honourable Ezekia Wenje, Constituency Member
Honourable William Ngeleja, Constituency Member
Honourable Dr. Asha-Rose Migiro (Constitutional and justice minister), Constitutional and justice minister
Honourable Magdalena Sakay (Constituency Member), Constituency Member
Honourable Shanif Mansoor (Constituency Member), Constituency Member 

We Tanzanians in the Diaspora , Believe That Dual Citizenship is a Great Thing for The Country. Please Support.

The government has said that it is high time now for Tanzania to allow dual citizenships so as to enable the Diasporas contribute to the country’s development in terms of income and expertise.

It has been said that many wealthy and well educated Tanzanians living abroad fail to contribute to national development because they are denied the right to dual citizenship.

Diaspora communities make an enormous contribution to economic and social development of our motherland through various means such as advocating for Tanzanian causes, promoting linkages with the international community, attracting foreign investments, as well as skills transfer and remittances. Reports by various entities such as the Bank of Tanzania, World Bank, International Monetary Fund and Tanzania Bureau of Statistics demonstrate that Tanzania has received a large amount of remittances to offset the trade balance. This affirms the diaspora’s contribution to the economic growth and development of our motherland. Therefore, the Citizenship law in its current form is a hindrance to our heritage, rights, duties and responsibilities as Tanzanians.

Under the Current Tanzania Constitution, Tanzania and many of her origins are losing out because Tanzania prohibits Dual Citizenship. On acquiring foreign citizenship, Tanzanians are required to renounce their Tanzanian Citizenship only to become foreigners in their country of origin, Tanzania.

We strongly believe that as the rights, privileges or immunities enjoyed under the citizenship of Tanzania terminate, this significantly restricts the ability to effectively contribute to the economic and community development of our beloved country Tanzania.

Dual Citizenship is one step towards bringing Tanzanians together in promoting global participation and the "Brain Gain" concept to produce a globally educated and skilled workforce as well as a viable entrepreneurial culture. Ahead of the Millennium Development Goals, we write in acknowledgement and support of the Government's initiative to allow dual citizenship and allow Tanzanians their constitutional and fundamental right to freedom of movement in seeking employment, education, and family life, health care and be free from poverty and discrimination on participating in the global market.

Many Tanzanians remain or become citizens of another country because of practical advantages, including:
• Employment opportunities
• Entitlement to social programs, such as education, health care, and pensions
• Property ownership
• Unrestricted residency
• A sense of belonging through personal ties to more than one country

There are many cases where Tanzanians by birth and descent have been forced to give up their citizenship in favor of a foreign country, as the law did not provide for dual citizenship.

Many children whose parents had relocated to other countries had to take up foreign citizenship as they were not allowed to have dual citizenship. The famous USA “green cards” led to the beneficiaries losing their Tanzanian citizenship.

While we enjoy the citizenship rights of a foreign country, under the current law we are treated as foreigners in our own land.
Why is the issue of citizenship so important? This is because there are different rights that accrue to individuals depending on their citizenship. A citizen has advantages in their local country over a foreigner. One is the most obvious and this is the right to vote. Only citizens can vote during any elections provided they have registered.

Yet we have an interest in the land and many of us have plans to relocate to Tanzania at some point in our lives. If the athlete in question gave up his citizenship then under the old dispensation he would not be allowed to vote.

Another importance of citizenship is in terms of access to labor and ease of movement. If foreigners, for instance, want to work in Tanzania or set up businesses they need special permits to do so.

The Minister for Foreign Affairs and International Co-operation Bernard Membe said this when he was launching a new outreach project for Tanzanians living abroad prepared by the Tanzanian Diaspora department and International Organisation for Migration (IOM) called on all citizens, politicians and academics to support the inclusion of dual citizenship in the new constitution.

As concerned Tanzanians, we want to be part of the discussion which impacts our future and generations to come.

We urge you to support the Dual Citizenship.

Sincerely
Iddi Sandaly


UMUHIMU WA MCHANGO WA JUMUIYA CHINI YA UONGOZI WANGU KWA ELIMU TANZANIA.
Pamoja na kuanzishwa kwa darasa la kiswahili na Jumuiya katika uongozi wangu, ukusanyaji wa vitabu muhimu kupelekwa Tanzania, nimekuwa mbele kwenye kuhakikisha kuwa elimu yetu ya nyumbani Tanzania inapewa ubora na umuhimu.
Uongozi wangu Pamoja na Friends of Tanzania mnamo April 12, 2014 tuliandaa Tanzania Education Panel Discussion kujadili maendelea na changamoto ya elimu yetu tanzania. Discusion hii ilifanyika Howard Univerisity na iliudhuriwa na wataalamu mbalimbali wa mambo ya Elimu hapa Marekani. Niliweza kupata wadhamini na kuzungumza nao na kuonyesha nia na lengo la o la kunyanyua elimu nchini Tanzania. Hivi sasa naendeleza nikakati kadha na wadhamini na wataalamu hao ili kuweza kuipeleka elimu yetu juu.



DMV KWANZA

Katika uongozi wangu nilihakikisha na nitahakikisha kuwa DMV inakuja kwanza katika mambo yote. Nimeshiriki katika mambo mbali mbali mimi na viongozi wenzangu katika kujenga Jumuiya Iliyo Bora. Mwaka huu 2014 mwezi wa 4 nilitoa jezi nilizozinunua kutoka Tanzania kwa Timu yetu ya Watanzania HAPA DMV. Nime kuwa nikishiriki mambo mbali mbali katika kuiendeleza timu yetu ya Watanzania wa Hapa DMV. 
Iddi Sandaly Akikabidhi Jezi kwa Timu ya DMV

AFYA KWA WANA DMV KWANZA
Katika uongozi wangu kwa mara ya kwanza tuliweza kuleta Wataalamu wa Afya kutoa Huduma ya BURE ya afya kwa watanzania hapa DMV. Jumuiya iliandaa hii ikishirikiana na HCPMetroDC na Nesi wangu.

Huu ni Mpango Maalumu ambao mara mbili kwa mwaka tutakuwa tukiita wataalamu wa mambo ya Afya watakao kuwa wakitoa huduma za Afya za Bure kwa Watanzania HAPA DMV. DMV Kwanza na Wana DMV wengi sana walifaidika na wataendelea kufaidika na Mpango huu. Watanzania DMV wasiokuwa na Bima ya Afya na Wenye Bima Ya Afya Walinufaika.

Sisi ni wa DMV na Tunataka tuendeleze DMV
VOTE FOR IDDI SANDAL

MAISHA NI NYUMBA NA KUWEZESHANA WANA DMV
Kwa kushirikiana na viongozi wenzangu tumeweza kuwakutanisha wanajumuiya na mashirika na Mabanki kwa ajili ya kuwekeza nyumbani mfano Azania Bank, CRDB, NHC (Maisha ni Nyumba) Mpango wa nyumba sasa na baadhi ya wanajumuiya wameweza kupata huduma hizo na maswali au matatizo yao kutatuliwa. Wana DMV Kadhaa waliweza kutumia Fursa hii tulio waletea na kuweza kununua nyumba za Mortage Nyumbani Tanzania. Baadhi Ya wana DMV wameweza kupata mikopo ya kuwekeza kwenye shughuli za Biashara na Kilimo Nyumbani Tanzania. Mwaka Huu Tunategeme kuyaleta Mabank haya(CRDB, AZANIA BANK pamoja na NHC) ili wana DMV muweze kunufaika zaidi. Azania Bank Pia iliweza kuitambulisha ACcount Mpya ya WanaDiaspora Asili Account. Wana DMV wengi walijiunga.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah Mchechu pamoja na mkurugenzi mkuu wa TMRC (Tanzania Mortgage Refinance Company) na Mkurugenzi Mkuu Azania Bank, pamoja na Maofisa wa benk mbali mbali walizungumzia utaratibu mzima wa suala la mikopo ya nyumba (Tanzania Mortgage Refinance Company).
Wana DMV walipata fursa ya kuwaeleza utaratibu mzima wa maisha ni nyumba, pamoja na kujijibu maswali mbali mbali yalioulizwa na wana Jumuia ya Watanzania waishio hapa na kuelimisha zaidi katika mkutano huo ili nae Mtanzania aliekuwepo njee ya nchi kufaidika zaidi kwa
mradi huo wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
NSSF & PSPF
Kwa kuona umuhimu na mahitaji ya Huduma za Kijamii kwa wana DMV. Nilihakikisha na nitaendelea kuhakikisha kuwa wana DMV wanapata habari na huduma muhimu. Kwenye uongozi wangu niliweza kuleta Mashirika Makuu muhimu kutoka Tanzania ambayo yaliwapatia information na Huduma wana DMV. Mashirika hayo ni NSSF na PSPF. 

Wengi waliweza kunufaika/Wananufaika na huduma hizi kwa kupata mipango ya BIMA ya WESTADI, Mipango ya Retirement, Mipango ya Nyumba Bora za Kuishi kwa mikopo huko nyumbani Tanzania. 
Kutokana na Kukubalika kwa Jumuiya yetu Shrika la NSSF liliweza kutusaidia kwenye Janga la Msiba kwa kutoa $5,000 kwa mwanajumuiya ambae hakuwa Member wa NSSF. Walitoa Pesa hizo Baada ya Kuwasiliana na Uongozi wangu na Ubalozi na kusema wanaziona Juhudi za DMV na wanataka Mahusiano yetu na NSSF yawe mazuri.
Mwaka huu Mwezi wa Nane au wa tisa tunategemea kuyaleta Tena Mashirika haya Mawiili na Shirika jingine la Tatu. Pia Tunafanya Mapatano ya Mipango rahisi kwa ajili ya Wana DMV kupitia Mashirika haya. Kwa habari na huduma za NSSF na PSPF pitia http://www.pspf-tz.org au http://www.nssf.org

DARASA LA KISWAHILI DMV 
DMV ni Jumuiya ya Kwanza hapa USA kuanzisha Darasa la Kiswahili kwa watoto chini ya Uongozi wangu mimi kama Rais wa DMV. Tumeweza kuwafunza watoto wetu. Tumewakilisha Tanzania kwenye matukio mbali mbali yanayahusu Lugha .Jumuiya yenu imeweza kuwawakilisha kwenye kwenye Nyanja za Kimataifa. DMV iko Juu hivi sasa. 
Kwa vile tunajulikana sasa tumeweza kuwapatia hata kazi za Lugha ya Kiswahili Baadhi ya Watanzania.
Tumeweza kuwapeleka walimu wetu wa Darasa la Kiswahili kwenye mafunzo mbali mbali ya Level za Chuo Kikuu kupitiaa Wadhamini. Na hivi sasa walimu wetu wana sifa kamili na wanakitangaza Kiswahili.
Mipango ijayo ni kulipanua Darasa hili na kuhakikisha na kuweza kuyatosheleza maombi ya Wengine wasio watanzania wanaotaka kujifunza lugha yetu.






Napenda kuambatanisha mambo kadhaa mimi kama Rais wa Jumuiya na Uongozi wengu tuliyoyafanya kwenye uongozi wetu.

-Kwa kushirikiana na viongozi wenzangu na wanajumuiya tumeweza kujenga jumuiya Imara na yenye mshikamano bila kujali dini, itikadi au makabila. Tumejenga imani kwa wana DMV kuwa tunaongoza jumuiya isiyo na udini ukabila wala itikadi za chama chochote pamoja na wimbi la vyama kuathiri jumuiya yetu bado tulisimama Imara
- Kwa kushirikiana na viongozi wenzangu na wanajumuiya – Jumuiya yetu imeweza kufungua shule ya lugha (Kiswahili) hakuna community yeyote hapa Marekani iliyoweza kufanya hivyo. Na tumewasupport walimu waliojitiolea kwenda kupata mafunzo ya ufundishaji wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya kigeni hapa Marekani. Nimekuwa nikihudhuria madarasa ya Kiswahili kila Jumamosi na kuhakikisha kuwa kila kitu kinakwenda sawa na kupata muda wa kuongea na wazazi wanaosubiri watoto wao na kupata feedback ya mambo yanayohusu Jumuiya yetu na hata watoto wa jumuiya hii wanafahamu nani ni Rais wa Jumuiya hii sababu tunaimba wote kila wiki tunapokutana

- Kwa kushirikiana na viongozi wenzangu, tumeweza kujenga uhusiano mzuri na Ubalozi wetu hapa Washington DC kwani Ubalozi umekuwa ndiyo mlezi wa Jumuiya yetu tangu miaka ya nyuma. Mfano wamekuwa wakisaidia jumuiya katika shughuli mbalimbali kama sherehe za mwaka mpya nk.

- Nisingependa kuzungumzia suala la misiba kwani ni masuala yanayohusu hisia kwa wanafamilia lakini kwa wale wanajumuiya waliokuwa active hapa DMV wanajua mchango wangu kwa familia yeyote ile iliyowahi kupata misiba kwa wakati wote nilipokuwa madarakani.

- Kwa kushirikiana na viongozi wenzangu, nimeishirikisha jumuiya katika shughuli za kitamaduni hapa DMV – Tanzania day Gfestival na midahalo mbalimbali kama ule wa Elimu kwanza ambao tuliutangaza sana kwenye blogs zetu na wanajumuiya wachache wenye uchungu na nchi yao walikuwepo tukiongozwa na Balozi wetu. Tulijifunza mengi na kujua mengi yanayoendelea katika sekta ya elimu.

- Kwa kushirikiana na viongozi wenzangu, tumekuwa tukiwatumia wanajumuiya nafasi za kazi tunazozipata kutoka mashirika mbali mbali hapa nchini na Tanzania.

- Kwa kushirikiana na viongozi wenzangu, nimeshiriki katika mikutano mbalimbali na kuiwakilisha Jumuiya hii kikamilifu . Mfano DICOTA, n.k


- Nimewasilisha malalamiko ya wanajumuiya kutaka kuonana na viongozi wa serikali na wale waliopata nafasi ya kuwepo kwenye vikao hivi watanisaidia, na maelezo ni kuwa wapo busy sana na Ubalozi utajaribu kulipa kipau mbele.. Kila mara viongozi wanapokuja Jumuiya hupokea mialiko yenye maelekezo ya kuwa inaalika viongozi tuu na hatuna budi kuheshimu maamuzi yaliyowekwa. Lakini nawahakikishia kuwa nimelilalamikia siku zote. Kila tunapopata fursa ya kukutana na viongozi na kupewa nafasi ya kuzungumza huwa nawaambia kuwa watanzania pia wangependa kukutana nanyi kama utakuja kututembelea tena wakti ujao na huwa tunapewa ahadi nzuri, hivyo tuwe wavumilivu kwani Balozi analielewa hili ndiyo ombi letu kubwa.

- Nimeshirikiana na wanajumuiya wengine kufanikisha matukio muhimu yenye faida kwa jamii yetu na inayoitangaza Tanzania, mfano Sherehe za Vijimambo zinazofanyika kila mwaka mimi ni mmoja ya wanakamati wa maadalizi ya sherehe hizo na ninajumuika na wanajumuiya wengine kama mwanajumuiya kuitangaza nchi yetu. Mfano mwingine ni sherehe za kutafuta mrembo wa kitanzania hapa Marekani Ms. Tanzania USA ambaye amekuwa kivutio kikubwa hapa DMV kwani ameiwakilisha nchi yetu katika shughuli mbali mbali hapa DMV.

- Kama Rais wa jumuiya ya DMV nimeshirikiana na viongozi wa mikoa mingine katika masuala mbalimbali ya maendeleo – mfano North Carolina and New York na states nyingine katika suala la dual citizenship. 

- Nimefanya Jitihada za Dual citizenship kwa Kuanzisha Petition ambayo ilitiwa sign na watanzania zaidi ya 1,700 wa hapa USA na nchi nyingine.

- Kuna mambo mengi sijayakamilisha kumbukeni kulikuwa hakuna jumuiya tulivyochukua uongozi na sasa ndo tumesimama IMARA, NINATAKA JUMUIYA YETU IANZE KUKIMBIA in the next few years.
- Tumekwisha jenga mizizi imara ya mahusiano na makampuni mengi hapa DMV na Tanzania na kuna opportunities kwa jumuiya kuwa na ushirikiano wa karibu na wanajumuiya kunufaika nayo. 
- Shule yetu ya kiswahili inafahamika katika vyuo vikubwa hapa Marekani vinavyofundisha lugha hiyo na waalimu wameanza mikakati ya kuwashirikisha watoto.wetu wa hapa DMV kuhudhuria program za kiswahili wakati wa summer ili waweze kuendeleza lugha yao huku ughaibuni..


-Na kwa kazi nzuri ninayo ifanya Viongozi wenzangu wa Jumuiya za Watanzania USA walinichagua kuwa Mwenyeketi wa Mpito wa Viongozi wa Watanzania in USA.


Jumuiya yetu Inasonga Mbele na Mambo mazuri mengi yanakuja.

Naomba Kura zenu

Wenu 

Iddi Sandaly

www.watanzaniadmv.org