Advertisements

Saturday, August 9, 2014

ANGALIA RECORDED LIVE WAGOMBEA WA DMV WAKIJINADI KWA WAPIGA KURA WAO

Broadcast live streaming video on Ustream
Broadcast live streaming video on Ustream Angalia LIVE kutoka wagombea wa uongozi wa Jumuiya ya Watanzani DMV wakijinadi kwa wapiga kura wao tutaanza kurusha Live muda si mrefu na Timu ya Vijimambo ikishirikiana na KWANZA Production inapenda kutoa shukurani za dhati kwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani,Mhe. Liberata Mulamula, Mkuu wa Utawala na Fedha Mama Lily Munanka bila kumsahau Afisa Ubalozi Abbas Missana kwa kuwezesha kutupatia sehemu ya kwa wagombea wa uongozi wa DMV ili waweze kujinadi kwa wapiga kura wao japo taarifa ilikua ni ya muda mfupi na ikizingatiwa leo ni siku ya mapunziko Tanzania kutokana na sikukuu ya nane nane.

1 comment:

Anonymous said...

kijana utapewaje paper work wakati bado ujakua rais .sijawahi kusikia obama anamuomba bush makarati ya white house kabla ajaingia white house ni hoja tuu sijatukana mtu