Advertisements

Saturday, August 9, 2014

KWANZA PRODUCTION YAONGEA NA WAGOMBEA UONGOZI DMV WAKIWEMO KAMATI YA UCHAGUZI


 Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akiongea na mgombea makamu wa Rais DMV Bi. Salma Moshi wakati wakinadi sera zao katika kipindi maalum kilichoandaliwa na Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa karibu wa Kwanza Production na wagombea kupata nafasi ya kujinadi kwa mara ya mwisho kabla ya saa chache zijazo leo ambako kutafanyika uchaguzi wa kihistoria.
  Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akiongea na mgombea wa Rais DMV Bwn. Iddi Sandaly wakati wakinadi sera zao katika kipindi maalum kilichoandaliwa na Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa karibu wa Kwanza Production na wagombea kupata nafasi ya kujinadi kwa mara ya mwisho kabla ya saa chache zijazo leo ambako kutafanyika uchaguzi wa kihistoria.
 Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akiongea na mgombea ukatibu DMV. Bwn Saidi Mwamende wakati wakinadi sera zao katika kipindi maalum kilichoandaliwa na Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa karibu wa Kwanza Production na wagombea kupata nafasi ya kujinadi kwa mara ya mwisho kabla ya saa chache zijazo leo ambako kutafanyika uchaguzi wa kihistoria.
  Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akiongea na mgombea makamu wa Rais DMV, Bi Harriet Shangarai wakati wakinadi sera zao katika kipindi maalum kilichoandaliwa na Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa karibu wa Kwanza Production na wagombea kupata nafasi ya kujinadi kwa mara ya mwisho kabla ya saa chache zijazo leo ambako kutafanyika uchaguzi wa kihistoria.
  Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akiongea na mgombea wa Rais DMV Bwn. Liberatus Mwang;ombe wakati wakinadi sera zao katika kipindi maalum kilichoandaliwa na Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa karibu wa Kwanza Production na wagombea kupata nafasi ya kujinadi kwa mara ya mwisho kabla ya saa chache zijazo leo ambako kutafanyika uchaguzi wa kihistoria.
  Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akiongea na mgombea mweka hazina DMV Bi. Jasmine Rubama wakati wakinadi sera zao katika kipindi maalum kilichoandaliwa na Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa karibu wa Kwanza Production na wagombea kupata nafasi ya kujinadi kwa mara ya mwisho kabla ya saa chache zijazo leo ambako kutafanyika uchaguzi wa kihistoria.
  Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akiongea na baadhi ya wanakamati ya uchaguzi DMV, Bi Asha Nyang'anyi (kushoto) na Asha Hariz wakati wakinadi sera zao katika kipindi maalum kilichoandaliwa na Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa karibu wa Kwanza Production na wagombea kupata nafasi ya kujinadi kwa mara ya mwisho kabla ya saa chache zijazo leo ambako kutafanyika uchaguzi wa kihistoria.

Uchaguzi leo utafanyika hapa kuanzia saa 8 mchana 2pm mpaka saa 2 usiku 8pm
Kamati inawaomba mzingatie muda na wanatanguliza shukurani.

No comments: