Advertisements

Saturday, August 9, 2014

UCHAGUZI DMV KURA YANGU YA WAZI NAMPA IDDI SANDALY

Mimi Tony mwanajumuiya na wakazi wa Kitanzanzania waishio dmv naomba tuungane kumruhusu rais wetu wa jumuiya aendelee na kiti chake amefanya vema kwa kipindi alipotumikia tumrudishie heshima aboreshe pale alipofikia . Hakuna shaka ni wenye ulemavu wa akili tuu wasiofahamu na kuelea vizuri ila basi kama hawaelewi basi picha zinasaidia waangalie waone aliyoyafanya raisi .

No comments: