Advertisements

Thursday, July 31, 2014

UCHAGUZI DMV



Mimi Salima Moshi Mgombea wa Nafasi ya makamo wa Rais Napenda kuwahakikishia tutakuwa begakwa bega tutashirikiana kwa pamoja kuendeleza Jumuia yetu hapa DMV SITOJITOA kamwe kataka dhamana mtakayonikabidhi kama ilivyotokea kwa mgombea mwenzangu tarehe 18 July alijitoa Ubalozini mbele ya viongozi nakusema anajitoa hawezi kugombea tena na kuniendorse mimi Hivyo mtu akijitoa Hataki lawama ina maana kazi haiwezi Msije mkamlaumu tumeshuhudia wagombea aina hii hatutaki kufanya makosa NIchagueni mimi Najiamini Ni mchapa kazi Nini uwezo wa kuongoza ni Mwadilifu niko tayari kujitolea wakati wowote Kwa heshima na Taadhima Naomba Kura zenu

No comments: