Naitwa Baraka Malipula mimi namuindozi Iddi Sandaly for DMV President kwa sababu ninaimani nae na ameishafanya mengi makubwa ya kutuunganisha Watanzania bila kujali dini, rangi, kabila na kuwaheshimu wakubwa na wadogo. Nawaomba Wabongo wenzangu tujiandikishe kwa wingi mwisho wa kujiandikisha ni Aug 7, 2014 ili tumchague Iddi Sandaly kwani amefanyakazi kubwa na anasitahili nafasi nyingine ili amalizie kile kidogo kilichobaki.
IDDI SANDALY FOR DMV PRESIDENT
