ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 4, 2014

UGOMVI WA ALI KIBA NA DAIMOND UNASABABISHWA NA MABEPALI WA MUZIKI WA BONGO FLEVA.


ALLY SALEH NA NASIBU ABDUL simajina mageni kwenye medani ya muziki wa bongoflava kwan ally saleh kiba ana fahamika kama ALLY KIBA na NASIBU ABDULana fahamika kama DAIMOND ndio majina yao maarufu ya kupatia ugali wa kila siku iyendayo kwa mungu. mm nimoja katia ya watu wakaribu wanaofuatilia muzikiwa kibongo bongo hasa bongo flava miaka mitano au saba nyuma lilianzishwaga kundi moja la muziki lilikuwa linaitwa sharobalo lilianzia kariako sikosei kama DULLY ndio alikuwa analitumia sana hili neno kuwa ambia watoto waliokuwa wakiwa watanashati kuanzia nguo na sauti na umaridadi mwilini kwahiyo likawa kama ndio neno jipya au misimu kwa kariakoo kipindi hicho baadaye likawakama jina lakundi ambalo makao makuu yakawa magomeni kwakina bob junior. mwanzo kundihili alikuwa ALLY KIBA, BOB JUNIOR,DAIMOND, HAKIMU5 lili kuwa kama lile lakina duly misifaz camp baadaye ali kiba akajitoa nawengine akabaki bob junior na diamond na watoto wengine wakariakoo na magomeni.kipindi hicho ali kiba ana vuma mjini kilakitu kiba. diamond anatafuta pakutokea sharobalo recods ndio waka chia nyimbo yake ya mbagara bado wakiwa marafiki kiba na diomand mpaka diomond anampeleka OMARY NYEMBO kwa bob junior. bob junior ana mwambia huyu ajui kuimba. kwasasa mna mwita ommy dompoz. mpaka ana muunganisha na ali kiba ommy dimpoz anatoa nyimbo yake ya kwanza akishilikina na ali kiba kwa msaada mkubwa wa diamond iweje leo kiba na diamond wawe maadui kiasi hiki na kila mmoja anatembea na mabaunsa na huyu gun tester kwani wafike huko?na ninani anawagombanisha?kamasimabepali wa muziki huu wa bongo fleva.

ALLY SALEH, ALI KIBA, AU (ALI ULAYA). mabepali niwatu ambao wao siwaimbaji na wala siwaandaaji wamuziki ila ndio wanauwendesha huo muziki wakibongo bongo.kaziyao wao ndio wanaowamulia kiasi chakulipa wasanii wao kazi yao wana tengeneza makundi kwa makusudi ilimladi tu watu wagombane kisha masilahi yao yafanikishe niwatu ambao wanajiita WADAU WAMZIKI HUU bila yawao muziki huu hauwendi kwanini wamekuwamabepali wahuu muziki na mara nyingi niwatu ambao waliwahi kumiliki makundi ya mziki au wali kuwa wana waongoza wasanii kimziki mwisho wasiku wameshindwa kuwaongoaza na kusababisha mtafaruku mkubwa katika muziki huu wa kibongo bongo na wanawaacha wasaniiwao na kwakuwalukia wasanii wengine kwa kigezo cha kuwagombanish kwa maneno ya dhihaka wakikutana nahuyu wana mwambia wewe una jua kuimba kuliko yule na wakikutana na yule wana mwambia babu wewe ninomaaauuumwisho wasiki wenyewe zinawafiki nakuwa upuuzi wa kijinga na kuwa wanaanza kujihami kwa kila kitu leo hiki kesho kile hakuna la maana hata moja la msingi HAO MABEPALi WAPO TAAYALI HATA KUWATAFUTIA WANAWAKE mwisho wasikuwa wana kuwa wa kwanza kulusha kwanye mitandao ALLY KIBA KAMCHUKULIA DAIMONDI DEMU WAKE AU DAIMOND KAMLA DEMU WA ALLY KIBA basi shagha baghala tu nimladi wapate kuwanyonya hawa wasanii nawengine kutoonekana katika gemu ivi tufikilie sikumoja nguvu hizi alizokuwa nazo DIAMOND na ALLY KIBA akasaidiwa kama hivi leo tunge kuwa wapi kimuziki wezetu wanaingiza wasanii sita kwenye tuzo sisi tuna ingiza mmoja kisha tunajisifu kuwa tunaweza sikweli tuna jidanganya sana tuwache ujinga tusaidie wasanii wote kwa wakati mmoja tutaona matunda yake kinyume na hapo hakuna kitu.

2 comments:

Anonymous said...

First of of all, jifunze kuandika article. Second, stop hating ubepari. Inaonekana bado una ungonjwa wa Ujamaa.

Anonymous said...

ujamaa ni mzuri na wala si ugonjwa wewe unayeupenda ubapari mbona hii leo unalilia dual citizen si umeshapata mkoba wa kinywamwezi sasa tulia nao na ubepari wako.
unatuleta za kimangi mangi hapa ka divide sehemu yenu ya moshi muwe taifa letu peke yenu na ubepari wenu