Advertisements

Friday, August 8, 2014

BAADA YA KUSIFIANA INSTAGRAM HATIMAYE AGNESS MASOGANGE NA MKENYA CORAZON KWAMBOKA WAKUTANA

Jux akiwakwa mtu kati na warembo wenye maumbo tata Agness Masogange na Mwanadada Mkenya Corazon Wote wamejaliwa maombo mazuri yenye kuwafanya wanaume wajingate, Hawa walianza kusifiana Kupitia Instagram huku wakiwa hawajakutana uso kwa uso , Agness akiweka picha basi Corazon ata comment na kuisifia vile vile Corazon akiweka picha Masogange ata comment kuisifu , Wawili Hao hatimae wameonana  na Kula Bata Pamoja.....

1 comment:

eddy said...

mi mbongo lakini Corazon noma, mtamu.urefu na lips umbo wanaweza kukaribiana