DR. THOMAS KASHILILAH ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA ZAMBIA
Mhe. Balozi akiwa katika mazungumzo na Dr. Kashililah na wajumbe walioongozana nae waliokaa upande wa kushoto mwa Balozi wakimsikiliza kwa makini.
Picha ya pamoja kuanzia Kushoto:- Richard Lupembe ( Counselor ) Ubalozi wa Tanzania Lusaka, Mbarikiwa Masinga, Emmanuel Mpanda, George Seni, Demetrius Mgalami, Justa Nyange (Head Of Chancery) Ubalozi wa Tanzania Lusaka, Dr Thomas Kashililah (Katibu Wa Bunge La Tanzania) Mhe. Balozi Grace Joan Mujuma, Huddy Kiangi (Finance Attaché) Ubalozi Wa Tanzania Lusaka, Salma Omary, Zuwena Turkey, Katherine Kaikula, Maryam Rajab Na Joseph Lyimo.
No comments:
Post a Comment