Advertisements

Friday, August 1, 2014

HOTEL MOJA MAARUFU HUKO BERLIN WAPITA NJIA WANAWEZA KUKUONA UKIWA FARAGHA

25hours hotel bikini Berlin hotel hii inaumaarufu kutokana na wateja kuonekana wanavyokuwa chooni. Kwaiyo kaa ukijua kuwa unavyoshikwa na haja ndogo au kubwa basi mambo hadharani kama unavyoona kwenye picha hii kazi kwako habari ndiyo hiyo tena live bila chenga.
Kwaiyo kama una sura ya aibu wala usijisumbue kwenda kupanga kwenye hotel hii, na kama unavyojua raha ya chooni taa.

No comments: