Wana DMV jamani mchawi huyu anayetuchezea vichwa ni nani! Naomba
tafadhali atuachie tuu yatosha. Jamani kila kukicha wapendwa?
Tafadhali basi hata punguza dozi maana tooo much. Tafadhali kama kuna
aliyemleta mtaalamu kutoka ng’ambo basi, tumeamini kazi anaijuwa
tafadhali mrudisheni huyo mganga wa kienyeji. Mrudisheni kwao.
Nauliza tena DMV aliye tuloga ni nani? Please this is serious!
Toeni mawazo jamani tusaidiane kupata ufumbuzi.
Asanteni,
Mwana DMV
11 comments:
DJ LUCAS USIBANIE HII,
MCHAWI NI WEWE KILA MARA UNATUMA POSTI BILA KUTAJA JINA LAKO.UNAIPENDA KWELI DMV ? KWA KUJIFICHA ? TUPISHE HUKO.USHUZI MTUPU.
Hamjambo watu DMV MNA mda mpaka naskia kichefuchefu nilitamani nijiunge umoja we nu lkn kwa mwendo Hui mmmm
Shule muhimu
mchawiniwewekama mwanamke kweliau mwanaumekweliunapotoacomment say youe name look DAUDIyeyealways anasemajinalake je wewe unaependakuandikabilakutoa jina lako inamaa unaandika uongo ndio mana utakiujilikane wachakugombanisha watu tushakushtukia
Peleka iman yako ya kichawi huko ushindwe kwa mamlaka ya damu ya yesu tena ulegee umelogwa wewe nyan weee
Udini ni tatizo kwa jamii ya kitanzania,asiye amini ataamini siku akioteshwa.Udini ni tatizo sugu halisemwi linaogopwa hatakugusiwa.hapa limweka mizizizi na linasambaa.
Siku nyingi sana kama mtu noliyeishi huko Maryland na kijani kikubwa kimewajaa ni uswahili na yanayoendelea ni mambo ya kiswahili na wanaoshiriki ni waswahili mnatia aibu. Niwatu ambao hata Dar tusingekuwepo maeneo mamoja au enrollment moja deal with it mnaishi njeeee but never change too ghetooooo
Ningemshauri Libe kuanzisha jumuiya nyingine mpya ya wana-DMV.Hii itatoa fursa mpya ya sisi sote(DMV) kutekeleza VISION mpya na siyo hiyo ya akina Sandali na maustaudhi wake.
kama ukiwa huna imani ya dini je uwe na imana ya nani?shetani?
wacha zako wewe,kama huna dini ni wewe lakini wenginewe tunajua muumba wetu aliyetuumba na kutuleta hapa dunianai na ikifika time yetu tutarudi kwake.
bila ya mungu wewe ungekuwa binadamu kamili wewe leo hii?
so get a life, usituletea imani za kipagani na kishetani na scientist.
mwenzenu anasema ukweli aliyeturoga ni nani?
na mrudisheni huyo mganga wenu bongo?
si lazima ajionyeshe/au kuliandika jina lake.Aliyetoa comment yake hiyo ana haki kama yeyote yule kwa kutoa maoni yake katika blog hii,msilete zenu za kuleta.
kuweni wastaarabu.
na kuweni wenye kujiuliza kwa nini mambo haya yanatokea sana hivi leo dmv why?
whats going on? its a shame,tumekuja kutafuta huku marekani au tumekuja kutafutana?.
lets unite and love one another and build our community together and be able to help others at home si kwa majungu na fitna.
nani katuroga?mchawi wetu nani?kwanini hatuelewani and for what reason why and why and why, let us sit down and ask ourselves these questions.
Kinachowakera wengi ni RAis kuwa muislamu. NYIE WAKRISTO WENYE UTAHIRA WA AKILI NDIYO MNAONYESHA KUWA MMEROGWA. Kutwa Kumidentify Iddy na Dini yake. WHAT THE HELL??? MBONA HAMKUWASAKAMA WAZEE WA KANISA WALIOMALIZA UONGOZI? CHEREHANI NA RAYMOND??? Ndiyo kuna udini na huu unatokea upande mmoja. HUJAWAHI KUSIKIA WAISLAMU WAKISEMA PUMBA KAMA HIZI SABABU WAGOMBEA NA VIONGOZI WOTE WALIOPITA WALIKUWA WAKRISTO KASORO IDDY. NYIE WAKRISTO WACHACHE MSIOKUWA NA ELIMU NDIYO MNAOGAWA HII JUMUIYA NA KUNA MAKURUMBWENDE MENGINE YA WAUMINI WA KIISLAMU BILA HAYA NA WAO WANAKASHIFU DINI YENU. LET ME TELL YOU SOMETHING IF YOU DO NOT RESPECT YOURSELF NOBODY AING GONA RESPECT YOU. HUWEZI KUFUNGUA MDOMO UKAKASHIFU NYUMBA YAKO. THIS IS WHERE YOU ALL WENT WRONG. Kila mtu ana uhuru wa kuchagua rais anayemtaka wa dini yeyote BUT DO NOT SPREAD THE POISON ZA UONGO KUHUSU IMANI ZA WATU KUHUSU MTU HUYO. Iddy ni muislamu tunajua anaipenda dini yake na ametuongoza bila kuchanganya mambo mengi ya imani yake tumecheza madansi na mapombe yameuzwa kwenye party za jumuiya angekuwa mbaguzi kama mnavyomsakama msingemuona kwenye mambo yote ya social.. LET US BE FAIR TO EACH OTHER. This should be a lesson 2016 HATUTAKI KUSIKIA HABARI ZA MTU WEWE KAMA UMEJAZA FOMU TUELEZE UMESAIDIAJE JUMUIYA AU UTASAIDIAJE JUMUIYA IWAPO TUTAKUCHAGUA. DO NOT WASTE OUR TIME KUTUANDIKIA MAGAZETI ABOUT THE PREVIUOUS RAIS ALIFANYA HICHI NA HAKUFANYA HICHI. NDIYO MAANA MMESHINDWA NYIE MLIKUWA BUSY KUTUPA SHUTUMA ZA UONGO JAMII FORUM, WHATSUP NA VIBER WENZENU WALIKUWA WANAUZA SERA. UTAONA WALE WOTE WALIOSHINDA HAWAKUWA KWENYE MALUMBANO HAO TEAM LIBE WALIKUWA BALAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!! USIIBANE HII DJ
Post a Comment