Advertisements

Friday, August 8, 2014

JESHI LA MAGEREZA LAIBUKA KIDEDEA MSHINDI WA VIPANDO BORA MAONESHO YA WAKULIMA MKOANI TABORA, NANE NANE 2014


Kikombe cha Ushindi kilichokabidhiwa kwa Jeshi la Magereza katika Kanda ya Magharibi, Mkoani Tabora ambapo Jeshi la Magereza limeibuka Mshindi wa kwanza kwa upande wa Vipando Bora kwa Mwaka 2014 katika Kilele cha Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Magharibi yaliyofanyika Mkoani Tabora(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Muonekano wa Mbogamboga aina ya Sukumawiki pamoja na Mchicha ilivyostaawi kwa Ustadi mkubwa katika Banda la Jeshi la Magereza katika Maonesho ya Nane Nane katika Kanda ya Magharibi yaliyofanyika Mkoani Tabora ambapo Jeshi la Magereza limeibuka Kidedea kwa upande wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
Shamba la Mahindi likiwa limestawi vizuri na limelimwa kwa kuzingatia Kanuni Bora za Kilimo Bora katika Banda la Jeshi la Magereza katika Kanda ya Magharibi kwenye Maonesho ya Nane Nane Kikanda yaliyofanyika Mkoani Tabora.
Chinisi zilizooteshwa kwa Ustadi mkubwa katika Banda la Jeshi la Magereza katika Kilele cha Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Magharibi, Jeshi la Magereza limeibuka Mshindi wa kwanza katika Mapando Bora katika Jeshi la Magereza.

No comments: