Advertisements

Thursday, August 28, 2014

KISOMO CHA DUA CHA MOHAMMED ALI COLUMBUS, OHIO JUMAPILI

Mohammed Ali enzi ya uhai wake

Tunatarajia kusoma dua ya Mohammed Jumapili 8/31/2014 Saa nane mchana 

at "Filipinas Centre. 
3439 Westerville Road, 
Columbus OH 43224". 

Mahudhurio yenu ndio mafanikio ya shughuli yetu. Shukran wa JazaAllahu Khayran!

No comments: