
Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu
kwa nia kumshukuru na kumuaga Padre Evod Shao
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St,
Baltimore, MD 21216,
Phone: (410) 362-2000
Tarehe 31 August 2014. Saa nne kamili asubuhi (10:00 AM).
Karibuni sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha
ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya
barua pepe na Wakatoliki DMV anwani
WauminiWakatoliki@gmail.com
Kwa niaba ya Baba Paroko, Padri Evod Shao, ni
katibu wa Wakatoliki DMV Dani Steven
1 comment:
Huyu ndiye Parako wetu wa kweli wa kikatoliki lazima nikamuanga ,hana tamaa.mungu abariki sana.
Post a Comment