ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 9, 2014

NATURE APIGA SHOO YA NGUVU TAIFA


Mwanamuziki Juma Nature na kundi lake la Wanaume Halisi wakifanya yao ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 Uwanja wa Taifa.
Nature akiwadatisha mashabiki wake.
Nature na kundi lake la Wanaume Halisi wakifanya vitu vyao.

1 comment:

Anonymous said...

samahani kama nitakosea jamani sasa huyu juma nuture nilitaka kujua huko bongo kuna winter sasa naona kavaa miguo mizito mno mdau mungi