|
Hii ni asubuhi hii huko pande za muheza eneo la stand boda boda mbili zilivyogongana na kuwacha madereva wakiwa na majeraha na kukimbizwa hospitali ya muheza. Ajali kama hizi utokea mara kwa mara na nyingine usababisha vifo na ulema wa maisha.
|
Mashuuda wa ajali hiyo wakisubiri msaada wa kumfisha majeruhi hospitalini.
PICHA KUTOKA KWA DULLAH JICHO LA VIJIMAMBO MUHEZA.
No comments:
Post a Comment