Advertisements

Thursday, August 21, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO AUG,16 HUKO ORLANDO FLORIDA KWENYE KITUO CHA NASA.

Kennedy space centre museum iliyoko Orlando Florida: Hii ni rocket ya kwanza iliyorushwa angani kwa ufumbuzi wa mwezi na nyota mbalimbi zilizo angani.
Dr Temba -PhD na Dr. Temba DDS wakitembelea Kennedy Space Orlando kuona maeadeleo ya technologia ya angani.
Dr Temba akionyesha bendera za nchi ambazo zimejiunga na nchi ya Marekani kwa kuboresha technologia ya angani. Tuna imani kuwa Africa itakuwa moja ya nchi hizo hizo siku za karibuni.
Hii hapa ni sawa na kizazi kipya cha technologia ya angani ambayo engine zake ziko pembeni baada ya kuwa kwa nyuma kama mwanzo. Hizi engine za pembeni kazi yake ni kuweka uwiano wa nguvu za kupeperusha rocket hiyo kwenda angani kwa uwiano sawa.
Ni jumuhia ya watu wengi waliojiunga pamoja kwa kutimiza lengo moja Kwenda Angani hapa ni Dr. Florence Temba akipata ukodak mbele ya ujumbe huu.
Atlantis space craft cargo space: Sehemu ya kuwekea mizigo- satellites na vyombo vya angani
Combustion chamber amabayo inayomix hewa ya hydrogen na oxygen ili rocket ipate nguvu ya kuruka hewani
Dr. Temba  ni Engineer mwenye Company inayojulikana kwa jina la T.E.S akionyesha moja ya Multi stage turbo engine, engine hii inauwezo wa kuhimiri 4000 temperature degrees  fahrenheit, na pia engine hii ni wireless control.
Hii structure ya kuonyesha jinsi rocket inavyo rushwa na matanki matatu ya gas ya hydrogen na oxygen.
Rocket iko tayari kuruswa baada ya kukamilika 
Hapa unaweza kuona engine 5 ambazo ufanya kazi ya kusukuma rocketkwenda angani. Picha kwa hisani ya Temba Photo.
                                                                                   

4 comments:

Anonymous said...

nauliza jamani waugwani hivi mtu ukijitambulisha inabidi usheme usomi wako kama vile phd na dd.

Anonymous said...

Mzee Temba Huyooooo New York Bwanaaa!!!!

Anonymous said...

haina haja sana. hizi ni hulka tu za kinadamu. nadhani ipo haja ya sisi watu kuona umuhimu wa kuondo hizo tabia.

Anonymous said...

Kwa mtazamo wangu sihisi kama wanafanya hayo kwa kutaka sifa au kujionyesha bali wameiona faida ya usomi wao hivo basi wanawapa watu (wenzao) waliokuwa hawajasoma motivation fulani ili na wao wasoma na hatimae wajinyakulie shahada kubwa kubwa.