Advertisements

Thursday, August 21, 2014

LUIS FIGO ATUA BONGO

Mchezaji Luis Figo akiwa katika picha ya pamoja na mtangazaji wa E FM 93.7 Mauld Kitenge wakati alipowasili usiku huu katika uwanja wa kimataifa wa JNIA Dar tayari kwa mechi yao ya Jumamosi ya wachezaji wa zamani wa Real Madrid watakapokipiga mechi ya kirafiki na wachezaji wazamani wa Tanzania waliowahi chezea Timu ya Taifa na club ya Yanga na Simba wanaojulikana kama Tananzia Eleven siku ya Jumamosi Aug 23, 2014 uwanja wa Taifa.

No comments: