Sisi wana familia ya our late brother Mohammed Ali aliyefariki siku ya Ijumaa Tarehe 15/08/14 huko Clevelend,OHIO na kuzikwa 17/08/14 huko huko Cleveland, OHIO - USA. Tunapenda kutoa shukurani za dhati kabisa kwa ndugu , jamaa, na marafiki wote walioshiriki kwa hali na mali kwa namna moja au nyingine tangia alipokua hospitali anaugulia mpaka kifo na kuzikwa kwake.
shukran wote
mola awalipe na allah ailaze roho ya mpendwa weti mahali pema peponi.
Amin
- Wana familia
No comments:
Post a Comment