ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 25, 2014

SHUKURANOI ZA DHATI

Familia ya ndugu Martin na Steven Kibusi inatowa shukurani kwa dhati watu wote waliotoa michango      kwa hali na mali katika kifo cha  Mama yetu mpendwa Lucia Kibusi
Vilevile Familia  inawajuulisheni kuwa yale Makadirio na gharama ya kusafirisha mwili wa Marehemu ni yamepatikana  tulifanikiwa kukusanya $20,146.
 Familia  imeondoka jana asubuhi Aug 24, 2014  na inawashukuru ni  sana  kwa  mshikamano wenu mulioufanya. Tunamuomba M/ Mungu awabariki kwa nia safi mlizokuwa nazo, na awazidishie hivyo hivyo
Asanteni

2 comments:

Anonymous said...

Rip mama kibusi, this is good thing kwa wabongo,especially from Massachusetts we can do big things tukishirikiana na kushikamana.safari njema wakina Kibusi.

mayor wa Lynn#big money said...

This is the best example, when wabongo tukiungana for good cause. Rip mama kibusi na wabongo wote waliochangia especially in the great state of spirit of America, tunasonga mbele pamoja#aluta continua # Africa Bambataaa