Familia ya ndugu Martin na Steven Kibusi inatowa shukurani kwa dhati watu wote waliotoa michango kwa hali na mali katika kifo cha Mama yetu mpendwa Lucia Kibusi
Vilevile Familia inawajuulisheni kuwa yale Makadirio na gharama ya kusafirisha mwili wa Marehemu ni yamepatikana tulifanikiwa kukusanya $20,146.
Familia imeondoka jana asubuhi Aug 24, 2014 na inawashukuru ni sana kwa mshikamano wenu mulioufanya. Tunamuomba M/ Mungu awabariki kwa nia safi mlizokuwa nazo, na awazidishie hivyo hivyo
Asanteni
2 comments:
Rip mama kibusi, this is good thing kwa wabongo,especially from Massachusetts we can do big things tukishirikiana na kushikamana.safari njema wakina Kibusi.
This is the best example, when wabongo tukiungana for good cause. Rip mama kibusi na wabongo wote waliochangia especially in the great state of spirit of America, tunasonga mbele pamoja#aluta continua # Africa Bambataaa
Post a Comment