Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely.
No comments:
Post a Comment