Salma Moshi aliyekuwa mgombea makamu wa Urais
Tulikuwa wote kwenye Tume tulikubali utoke huko ili uwe makamo hii ni njama
2 Siku ya kwanza ya kufuturu mmoja wa Tume alikua na mgombea wakati wote kumsaidia hadi ilipotangazwa hapa si pahala pa kampeni
3 Mh Mama Salima Kikwete alipokuja hao watu wa Tume walimweka aongee kwa niaba ya wanawake wa D M V ili kumfanyia kampeni
4 Wakati wa nyama choma Asha ambaye ni Tume alikaa mbele akaninyooshea kidole nianze mimi kuongea ili wanisikilize nikamkazia macho nikamwambia kwa nini unashabikia hii inadhihirisha wazi upande waliogemea
USHIRIKISHWAJI KWA WAGOMBEA HAUKUWEPO Toka tumechaguliwa Tume haijapata kukutana na wagombea tumeburuzwa hadi mwisho kulikuwa na mambo ya kujadili kuhusu zoezi la uandikishwaji na upigaji kura wao wameandisha majina wao wanahakiki majina tulikosa imani kabisa na Tume Hasa Asha Nyanga`nyi ambaye alikuwa ndio kila kitu Tuliomba ajiuuzuru mapema kunusuru uchaguzi alikataa alijua akijiuzuru hawezi kufanikiwa
SIKU YA UPIGAJI KURA Waliruhusu kura zianzwe kupigwa kabla ya wagombea kufika hata mawakala ili ziwezwe kupigwa kura haramu hata Mwenyeki wa Tume hakuwepo
2 Masanduku ya kura yalikuwa huoni ndani yalitakiwa yawe ambayo unaweza kuona ndani ili kama zinatumbukizwa kura uweze kuziona hii pia ni njama
3 Baadhi ya wahusika sehemu muhimu wakati wa kuhesabu alikwa mke wa mgombea na mtoto wa Tume hatujakubaliana hicho kila mtu angeweka ndugu yake UCHAGUZI HAUKUWA HURU NA HAKI NA TUME ILIKUWA INAPENDELEA NInaomba iundwe kamati ya muda kuongoza Jumuia au IfunguliweJumuia Nyingine Ahasanteni
8 comments:
Kwani mnalipwA mpk mtake kuchafuliana kwenye nchi za watu, shukuru hapo ulipofikia I wonder kuona hamjui kilichowapeleka huko mpk mnajisahau na kuibua chuki za kijinga
Hizi tabia zenu za longolongo ndio zina wa cost
pole sana
Geee, I think we had had enough of this DMV Uchaguzi Crap, Can we please have other news from anywhere. How long are we going to endure this? It makes me sick!!
What do they actually get when elected. Noona wabongo tumekuwa kama mbuzi, marea uchaguzi wa Simba, CCM, Chadema? What are we actully getting from all this crap?
Grow up Salma!
I don't live in DMV, but I find this DMV election news to be so boring. Come last saturday I celebrated with the understanding that it was over, now we are still carrying on with upendeleo etc etc, what is going on guys.
Jaribu kusoma ulichoandika Kabla huja publish. Samahani Mimi nimesoma, sijaelewa unaongelea nini.
Post a Comment