Advertisements

Friday, August 29, 2014

USUMBUFU WA WANAJESHI WANAOTAKA ARDHI-Kimbiji,Somangira,Temeke,Dar-es-salaam

WAHESHIMIWA MABIBI NA MABWANA
Wanakijiji tunasikitika kuona vitisho vya afande moja wa JWTZ ambaye anatumia nembo ya jeshi na madaraka ya kwa kuongoza kiksoi chake kwa
kutoa vitisho na kuharibu mali za wanakijiji wa maeneo ya KIMBIJI na SOMANGIRA kwa malengo ya kutaka kuteka ardhi za raia bila ya ridhaa zetu, afande huyo waJWTZ namba yake ya simu 0652895247 ,amekuwa
na kauli za vitisho kwa raia wenye kumiliki maeneo ya Kimbiji na somangira,
TUNAOMBA MSAADA WENU WA KISHERIA ! kwa vitisho vyake vya kutaka ardhi vipo nje ya taratibu ya sheria,sheria inasema unapotaka ardhi ya wananchi lazima ukae nao chini ya uongozi wa kata,au kijiji wakiwamo viongozi wa serikali za mitaa,Mtendaji wa kata na diwani, na raia wakikataa
kutoa ardhi yao basi ni mali yao. Na afande huyu mwenye namba hii 0652895247 ya simu ajafuata taratibu hizi. Wakubwa mpigieni simu mumhoji vema mamlaka anayo tumia kayapata wapi?

No comments: