Young Africans Sports Club
Baada ya kujifua kwa siku tano Visiwani Pemba, kikosi cha timu ya Young Africans leo asubuhi kinaelekea Kisiwani Unguja (Zanzibar) tayari kwa kumalizia program yake ya mazoez kwa siku tano pia.
Young Africans ikiwa mjini Zanzibar kesho inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Shangani FC saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Aman mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment