Advertisements

Tuesday, September 2, 2014

CASTLE LITE NA MNUSO WAO WA JUST GOT PAID

Ijumaa wiki iliyopita Castle LITE ilidhamini pati ya JUST GOT PAID iliyofanyika Azura, Mikocheni. Pati hii ni ya madhumuni ya watu kusherekea mwisho wa mwezi na kuburudika kwa kinywaji cha Castle LITE na muziki bomba.
Wadau mbalimbali waliohudhuria mnuso wa Castle Lite wa Just Got Paid wakijivinjali na kanywaji ka Castle Lite siku ya Ijumaa Sept 30, 2014
Wadau wakia katika picha ya pozi kwenye mnuso wa Just Got Paid
Ilikua ni furaha tele kama picha inavyojieleza.
Wageni katika sherehe hii pia walihimizwa kushiriki katika shindano la kujishindia zawadi kutoka Castle LITE ambapo walitakiwa kutembelea tovuti ya www.castlelite.co.tz kujiunga katika droo. Zawadi za kujishindia ni Samsung Galaxy Tab, T-shirt, Kofia na Key holder za Castle LITE pamoja na Castle LITE za kopo. Picha kadhaa kutoka pati hii watu wakiburudika na Castle LITE jioni hiyo

No comments: