Advertisements

Wednesday, September 10, 2014

DIAMOND KUFANYA SHOW YA BURE STUTTGART, UJERUMANI SEPTEMBER 20 KUWAFIDIA MASHABIKI

Baada ya show ya Diamond Platnumz iliyokuwa ifanyike mjini Stuttgart, Ujerumani kushindwa kufanyika mwishoni mwa mwezi uliopita na kusababisha vurugu kutoka kwa mashabiki waliofika ukumbini kumshuhudia star huyo wa ‘Number 1′, show hiyo inatarajiwa kufanyika September 20, 2014 bila kiingilio.
Kupitia Instagram Diamond amethibitisha kwa kuandika:

“YES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of September 2014… kiukweli nilisikitishwa sana na kilichotokea last time Stuttgart… lakini baada ya kugundua kuwa pia lilikuwa ni kosa la mtu mwingine na si promotter kama nilivyodhani, yaani Brittis Events… ndipo tulipoamua na kuwaletea Burudani hii Mashabiki zetu pendwa wa Stuttgart….hakikisha ufikapo unapendeza zaidi maana kama ujuavyo safari hii Vyombo vyote vya habari ndani na nje ya nchi vitakuwa pale kwa RedCarpet…. kiingilio ni BUREEEEEE!!!… tafadhariwambie na wenzio wa nchi za karibu…#NORWAY #HOLLAND #SWITZLAND #BELGIUM #SWEEDEN na kadharika!!!!”

3 comments:

Anonymous said...

Why feel guilty? You are part to blame.
.

Anonymous said...

Ulipokuja New Jersey ulituingiza mkenge. Ulikuwa saa 10 usiku badalx ya saa nne usiku. We ndo tabia zako. Vyombo vya usalama Keanu chonjo kumkamata Diamond kwa ulaghai!

Anonymous said...

Hata alipokuja Dallas kaingia kufanya show 4:30 am mpaka 5 in the morning. By that time most people walienda kulala tu, Hype haikuwepo tena.

Jukwaani madancer walikuwa manjemba wawili hawajui kucheza wala nini...wanaboa tu, bora hata angekuwa na mademu wanojua kukata mauno.

Show haikuwa show bali utumbo mtupu. Mara kumi uangalie nyimbo on the video "Number one" kuliko show yake.

Dogo anachemsha sana kiasi kwamba anajiaribia title.