ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 19, 2014

Happy Birthday Kamanda Ras Makunja

Siku kama ya leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule ujerumani, kamanda Ras Makunja alizaliwa mjini Dar-es-Salaam,
akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja),
Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja leo ndio Happy Birthday !!!!! yake
pia unaweza kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni at

No comments: