Elizabeth, Yudatade Kweka na Diana Terry, kwa pamoja tunasema ASANTENI SANA, Watu wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kutufariji katika hiki kipindi kigumu cha kuondokewa na Mama yetu Mpenzi URUSLA KWEKA., Asanteni wana DMV, Asante marafiki wa States nyingine, Asante wana WARSAW (Tabora Girls group) Asanteni marafiki/ ndugu waliopo Tanzania
Mwenyezi Mungu Amempenda Mama URUSLA zaidi. Amen.
No comments:
Post a Comment