Jengo la Dawati na Jinsia na Watoto lilojengwa katika kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi.
IGP, Mangu akikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa dawati la jinsia katika kituo kikuu cha Polisi Moshi.
IGP, Mangu akizindua jengo hilo kwa kufungua kitambaa kuonyesha kibao chenye kumbukumbu ya ufunguzi wa jengo hilo.
Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Koka Moita akizungumza kabla ya kumkaribisha , IGP , Mangu kuzindua dawati la jinsia.
Wadau waliochangia ujenzi wa jengo hilo wakiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa jeshi la Polisi.
Kikosi cha Polisi jamii kilipata picha ya pamoja.
Watoto wa kituo cha Mkombozi wakiwa katika picha ya pamoja na IGP, Mangu.
(Picha na Na Dixon Busagaga)
No comments:
Post a Comment