Advertisements

Wednesday, September 10, 2014

LOWASA AKIFANYA MAZOEZI YA VIUNGO

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowasa, akifanya mazoezi ya viungo mapema asubuhi, Jumanne Septemba 9, 2014. Lowasa yuko Dodoma kuhudhuria vikao vya bunge maalum la katiba linaloendelea mjini humo
Lowasa na wasaidizi wake wakiendelea na mazoezi ya kutembea

No comments: