ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 4, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA MPYA MJINI DODOMA LEO

 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Bungeni Mjini Dodoma.
 Mjumbe Ummy Mwalimu akiendelea kuwasilisha taarifa za Kamati zao katika Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Bungeni Mjini Dodoma.
 Baadhi ya Wajumbe toka Kamati mbalimbali wakiendelea kuwasilisha taarifa za Kamati zao katika Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Bungeni Mjini Dodoma.

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiteta jambo na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru wakati wa Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Mjini Dodoma.
 Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa toka katika Kamati mbalimbali leo 03 Septemba, 2014 Bungeni Mjini Dodoma.

 Balozi Iddi na Khatib wakijadili jambo.
 Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa toka katika Kamati mbalimbali leo 03 Septemba, 2014 Bungeni Mjini Dodoma.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014. Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma

No comments: