ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 10, 2014

Mbunifu wa Mavazi wa Kimataifa Sheria Ngowi Akutana na Rais Jakaya Kikwete IKULU Jijini Dar es Salaam

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)akibadilishanamawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaam
alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali
Rais Jakaya Kikwete akijadiliana na Ujumbe Maalum Ukiongozwa naMbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia)ikulu
jijini Dar es Salaam Leo
Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguovinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi
(kulia)IKULU Jijini Dar es Salaam LEO,Kushoto ni Makamu wa Rais wa
Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi.
Rais Jakata Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum
Kutoka Sheria Ngowi Brand Ukiongozwa na Mfunifu wa mavazi wa kimataifa
Sheria Ngowi (wa pili kushoto) Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand
Haki Ngowi(wa pili Kulia)Mkuu wa Kitendo cha Biashara na Matangazo Deo
Kessy (wa kwanza kushoto) na Kiongozi wa idara ya habari kutoka Sheria
Ngowi Brand Atunza Nkrulu(wa kwanza Kulia).Picha na Freddy Maro -IKULU

No comments: