Advertisements

Wednesday, September 17, 2014

MHE. LAZARO NYALANU AZINDUA TANZANIA SAFARI AND TOURISM, KAMPUNI YA UTALII CALIFORNIA

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akikata utepe kuashioria uzinduzi wa kampuni mpya ya Utalii inayomilikiwa na Balozi wa Heshima Ahmed Issa kampuni hiyo inayobeba jina la Tanzania Safari and Tourism imefungulia siku ya Jumanee Sept 16, 2014 California nchini Marekani.
 Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Suleiman Saleh, Balozi wa heshima Ahmed Issa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Cherry Mke wa Balozi wa Heshima, Tom na dada ambaye jina lake halikupatikana ambaye alikua akiwaeleza jambo mgeni rasmi Mhe. Lazaro Nyalandu.
Watu mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo wakibadilishana mawili matatu na mhe. Lazaro Nyalandu. Picha na mwakilishi wa Vijimambo California Abdul Majid

1 comment:

Anonymous said...

picha za anniversary mbona hujaweka? tunataka tuone jinsi watu tulivyotoka chicha na suti zetu za klimplin!