![]() |
| Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Method Mengi |
![]() |
| Fr.Gerard Singu (katikati) kutoka Vurginia akiongoza misa |
![]() |
| Mke wa marehemu Method (wa pili kutoka kulia) akiwa kwenye majonzi |
![]() |
| Wanajumuia Simon na Michael wakiwasaidi watoto wa marehemu kutoa heshima za mwisho |
![]() |
| Jeneza likiingizwa kwenye gari baada ya misa |
![]() |
| Gari lililobeba mwili wa marehemu Method |
![]() |
| Watoto wa marehemu Method (wa kwanza kulia na wa katikati) |
![]() |
| Bw.Michael Ndejembi (rafiki wa marehemu Method) akitoa machache |


























































1 comment:
Pumzika kwa Amani Method. Poleni sana familia ya marehemu. Mungu awaongoze na kuwafariji ktk kipindi hiki kigumu.
Mwanajumuiya-Houston
Post a Comment