ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 3, 2014

MORO BEST LAPATA AJALI

Basi la abiria, Moro Best likiwa limepinduka katikati ya Morogoro na mkoa wa Pwani Jumanne Septemba 3, 2014. Kwa mujibu wa mashuhuda watu 45 wamejeruhiwa wanne kati yao mahututi. Hakutna taarifa zaidi zilizopatikana kuhusiana na ajali hiyo
Abiria walionusurika wakisubiri msaada
K-Vis

No comments: