ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 9, 2014

PICHA YA LEO

Siyo watu wote wanaota ndoto wakiwa wamelala usiku kuna wengine kama hivi macho makavu ndoto inatiririka tu kiroho safi habari ndiyo hii na ndoto zake za kuwa na mkoko wa bei chafu kama huu na huku akinywa champagne shida ni pale sheria ya (don't drink and drive kwishiney)

No comments: