Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Magese Mulongo baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Mkoa wa Arusha.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa tayari kutunuku shahada
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mnadhimu Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Luteni Jenerali Samu
el Albert Ndomba katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Luteni Jenerali Charles Lawrence Mkakala
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Salum Mustafa Kijuu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Joseph Furaha Kapwani.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali (Mstaafu) Wilfred Paul Mwakalambile Kabunda

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Warrant Officer II Othuman Mohamed Mpemba

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Kapteni Bruno Stansilaus Mtillu
Viongozi wakisimama mguu sawa kwa wimbo wa Taifa baada ya zoezi la kutunuku Shahada
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa mguu sawa kwa wimbo wa Taifa
Pichani juu na chini Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wakuu wa JWTZ.

No comments:
Post a Comment