Advertisements

Wednesday, September 17, 2014

SHUKRANI NYINGI

Kwa niaba ya familia ya Marehemu Mzee Ramadhani Abdallah Tumbo, tunapenda kutoa shuktani zetu za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki wote mlioshirikiana nasi katika kipindi kigumu cha msiba wa mdogo wetu Jamila Abdalla Tumbo.

Hatuna cha kuwalipa ila Mwenyezi Mungu ndiye pekee anaweza kuwalipa kwa upendo wenu.


Asanteni sana,

Rehema Barksdale na Ali Abdallah Tumbo (Ali Bambino).

No comments: